Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Siku hizi kuna option ya kufanyia kazi za ofisini nyumbani, kuna emails, unafanya kazi unapeleka report kwahiyo hayo ya kukaa ofisini mpaka saa tano usiku yasiku yasukusumbue.
Yeah ila sku hizi kdogo hata tiba angekuwa anawahi kururdi
 
Haina longo longo lakini tatizo likiisha unaweza kufikiri hivi kweli nililipa pesa ili niongee!!! Lakini wanakusaidia kuona upande wako wa pili ambao hukufahamu kuwa ni kiini cha tatizo, au jinsi ya kuliona ni tatizo dogo na unaweza kulikabili.

Kupata ushauri wa kitaalam ni bora zaidi ya ushauri wa kawaida, halafu huyo wa kawaida atoke hapo akakutangaze duniani.
 
Mkuu sijakuelewa, huyu tiba ni nani na mimi ninafahamu mtoto wetu ni Bashite?
Teh
The point was prof tibaijuka alikuwaga ana kaa ofisini had saa 5 usku. so mi nikawa nafupisha kuwa tiba niki mrefer prof tibaijuka mamaa wa kuita bilioni 6, vihela vya mboga kuwa kwa tech ya siku hizi naye pia angeweza kuwahi kurudi hom

Bashite wetu sja mgusia hapo.
 
Chagua mke moyo wako uliko, wengi husema mwanamke tabia sio sura, nakuambia utakuwa unamkimbia na kutoka nje kila siku, tabia hubadilika kuendana na mazingira, naamin hvyo kisaikolojia, sasa hebu niambie kama na sura itabadilika alikuwa hakuvutii sasa umbadilishe awe na mvuto, wenye sababu hii wengi nimewaona wanatoka sana nje ya ndoa, ukifatilia unakuta wameoa tabia na sio hata physical attraction ikiwepo sura nzuri yenye mvuto, kama mwanamke hakuvutii vp ukiwa kitandani nae, utanambia tabia ndo itakuvuta wewe utoe ushirikiano asilimia mia moja, tuangalie vzur hili suala ..otherwise tutabaki kufungwa kwa makosa ya kutubakakia watoto wetu warembo waliozalliwa na wake zetu warembo mkidhani kuwa wanawavutia kuliko hao wake zenu. Amkeni acheni sababu zisizo kuwa na mantiki. Am sorry kama nimegusa mtu mahali pake...ni ushauri tuu.
 
Siku nikibadili ID ujue nimepata....🙂🙂🙂🙂
Oooh! Kwahiyo kipindi kile ulivyobadili ulikuwa umepata?
Sasa ulivyotuambia kuwa umepata ilikuwa ni gia ya kutukata kijanja au?
 
Kwa baadhi hili si tatizo lakini kwa wengine utasikia atakuwa na kibri na kujifanya mjuaji wa kila kitu. Kwa hiyo kwenda kusoma hakuna RUKHSA! Kwa maoni yangu mwanamke msomi ndani ya ndoa ni faida kwa familia husika.
Iceman hilo halielewi wala hataki kulisikia kabisa.
 
Chagua mke moyo wako uliko, wengi husema mwanamke tabia sio sura, nakuambia utakuwa unamkimbia na kutoka nje kila siku, tabia hubadilika kuendana na mazingira, naamin hvyo kisaikolojia, sasa hebu niambie kama na sura itabadilika alikuwa hakuvutii sasa umbadilishe awe na mvuto, wenye sababu hii wengi nimewaona wanatoka sana nje ya ndoa, ukifatilia unakuta wameoa tabia na sio hata physical attraction ikiwepo sura nzuri yenye mvuto, kama mwanamke hakuvutii vp ukiwa kitandani nae, utanambia tabia ndo itakuvuta wewe utoe ushirikiano asilimia mia moja, tuangalie vzur hili suala ..otherwise tutabaki kufungwa kwa makosa ya kutubakakia watoto wetu warembo waliozalliwa na wake zetu warembo mkidhani kuwa wanawavutia kuliko hao wake zenu. Amkeni acheni sababu zisizo kuwa na mantiki. Am sorry kama nimegusa mtu mahali pake...ni ushauri tuu.
Tabia mnabadilisha eti eeh!!
Kuna watu wana wake wazuriiii na bado huko nje wanahangaika hatari, tena anakwenda kutembea na mtu ambae hamfikii mkewe hata robo.
 
Back
Top Bottom