Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Nijibu tu kuwa sio wanaume tuu hata sie wanawake huwa hatujui tunataka nini...
Kuna la kujifunza hapo, huyo dada nimependa msimamo wake
 
Mkuu sumbai kunavitu viwili. Moyo na akili. Kimoja lazima ki control mwenzake. Naona jamaa alisahau kuwa decision tunafanya kwa kutumia akili na sio moyo. Yaani moyo siku zote unapenda vinono
Hii Biology ya wapi???? Kazi ya Moyo ni kusukuma damu. Full stop, ongea vilivyopo na sivyo vya kudhania
 
M naangalia yule ntae mtongoza zaid ya mwaka ndo namuoa
 
Imenigusa pia...cjui hata huwa tunaangalia nini lakini vitu vichache ambavyo navitaka ni pamoja na
Awe na imani ya dini, amjue na kumuogopa Mungu,akifanya hivyo ataniheshimu mimi nandugu zangu pia.
2. Nasabu...hapa nauangalia ukoo wao, magonjwa yakurithi, tabia jumla na style za maisha zinapatikana hapa.
3.Tabia...asiwe mwoga lakini ajue anachofanya, akumbuke kuwa tabia njema ni silaha madhubuti,upendo wa kweli, heshima na atambue kuwa sisi ni wa afrika hatuna fifty fifty.
4.Uzuri nao unachangia,...akibaki nyumbani nitamani kurudi kwa sababu yeye yupo,awe ua linalonivutia,awe anahamasisha.
NB: Huwa anatoka kwa Mungu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine hawafundishiki weye Mume huyooo anajiendea nje kujirusha. Mtu kishakwambia kachoka kuna darasa tena hapo!? Mtandao umeyaanika mengi ya ndani ya ndoa ambayo zamani yalikuwa siri na baadhi wakiamua kufunguka wanafunguka hasa unabaki kutoa macho tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kama hafundishiki ndio umvumilie maana hayo mengine si siyo muhimu kwako!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Practical guidelines to evaluate a potential wife
Angalia sifa zifuatazo wakati unachagua mke mtarajiwa
Nitaeleza kwa kifupi kama ifuatavyo...
Kumbuka herufi hizi...
A B C D E F

Age=Of about your age
Gape lisizidi miaka 10...
B=Beauty anayekuvutia
C=Character Tabia unazozikubali
D=Dignity anayejiheshimu
E=Education .....of about the same level of education.
F= Family ....Of about the same level of family status

Baada ya ku evaluate hizo sifa on a piece of paper ....l insist uwe very honest!!..mkweli na nafsi yako....
Mpe maksi....mfano labda umempa maksi 65%....sasa angalia udhaifu wake uko wapi?? Wapi amepoteza maksi 35??
Kumbuka huwezi kumpata mwanamke ambaye utampa 100%
Utakuwa unajidanganya.......
MASWALI mawili ya kujiuliza
1.Je nitaweza Kuishi na madhaifu yake??
2.Kama siwezi nitayarekebishaje??

NB: kama hayarekebishiki na huwezi kuishi na madhaifu yake...achana naye!!!!! Tafuta mwingine......WAKE WA KUOA WENYE SIFA WAPO...
Nakaribisha MASWALI.. .nitajibu kadri ya uwezo wangu.....lengo ni kuwasaidia wale walio ktk hatua ya kutafuta wake watakao dumu ktk ndoa zao....
Okey.
 
Nafurahi sana kuona ushauri wangu unakubalika...nazungumzia experience yangu...nimeoa nina miaka mingi tu .nimefuata hizo guidelines na kweli namshukuru Mungu matatizo ya ndoa nayasikia kwa majirani au kwenye vyombo vya habari tu...
Hongera sana.
 
Huwa nashindwa kuelewa wanaume wa hivi, labda wa humu watakuwa na majibu.
Hivi badala ya mwanaume kwenda nje ambapo unaweza kuokoteza magonjwa kwa nini usiongee kwanza na mkeo, ukamweleza ukweli wa nini unapendelea kisha mfanye ndani ya ndoa takatifu. Ukampa hata Mkali na kumpa makavu live, for the sake of pupuchi and marriage.
Wanapenda short cut na ready made.
 
Kwani hakuna wanawake wenye sura za kawaida kimuonekano na pia wana hizo tabia ulizozisema? Ina maana wanawake wenye sura nzuri wana tabia mbaya na wanawake wenye sura za wastani (kawaida) wana tabia nzuri? (IS TABIA = SURA (muonekano wa mwanamke)
Nooo, wapo wengi tu, hapa cha msingi tunaongelea kuwa ujikite kotekote na si kujikita katika kimoja tu na kingine ukakipuuza.
 
Mwaume kuwa na hekima muhimu pia. Sio kilakitu ukiona unasema. Vingine unanyamaza tu
Thats right, hili la hekima ni kwa pande zote ila naona kama ni tatizo zaidi kwetu wanawake.
 
Nijibu tu kuwa sio wanaume tuu hata sie wanawake huwa hatujui tunataka nini...
Kuna la kujifunza hapo, huyo dada nimependa msimamo wake
Aliona mbali dada wa watu kuwa jamaa huruma ndio imefanya atake kurudiana nae ila hana upendo wa dhati kwake, kwahiyo hakutaka kuigia mkenge.
 
Back
Top Bottom