Nilikwisha sema mtumie self contained rooms kufunya ufuska wenu. Nafikiri ili ni tatizo la baadhi ya wanaume na sio wote - kwani mimi siko kwenye kundi hili! Mama mwenye mtoto ukigundua suala hili mweleze mumeo au make sure anaoga kwanza! Afya ya mtoto mchanga haiathiriwi na li-baba la type hii tu, hata watu wengine - usimpe mtoto wako mchanga mtu yeyote bila baby show au mwambie akanawe mikono yake kwanza (wanaokuja kulea mtoto unawapa taarifa hii kabisa au unaweka maji ya kunawa sebuleni kama vile chakula tayari - ila jiandae kwa maneno mbovu mbovu!).
sasa ukimubeba ndo upindishe UKWELI!?
hahahahaha!
mi ningekuwa moderator we ngekupa ban ya maisha!
unatumalizia wenzio ''chakula''
unataka upate wewe tu:love:
....
Hoja ya Teamo iko straight kabisa, kwamba mkifanya infidelity hakikisheni mnaoga ndio mrudi nyumbani kuvichumu vimatesha vyenu.
Kuna swali? Mi nnalo Hivi JF hakuna chat room tena?, tunamisi sehemu za kutafutia infidelizesheni lol:help::help:
ha ha ha ha!
mkuu naona umeifanya mada ngumu zaidi
Juzi tulikuwa twadiscuss the same issue na kijana wangu ambae mkewe kajifungua juzi.
Shortly iyo inaitwa kumbemenda mtoto seriuosly in impact kwa mtoto na infact ni mapokeao tuu as sijawai ona mtu katoa facts kujustfy ilo.
hahahahah!
jamani mbona mmekuwa wagumu kuelewa....!
mimi ni daktari wa binadamu na ni bingwa wa magonjwa ya watoto[/QUOTE]
Vipi kubemenda mtoto, kuna maana gani? nasikia eti hurusiwi kumgusa mama hadi mtoto atembee, hapo ukimwi utaishaje?, wenye mtazamo huu unawasaidiaje?
hahahahah!
jamani mbona mmekuwa wagumu kuelewa....!
mimi ni daktari wa binadamu na ni bingwa wa magonjwa ya watoto[/QUOTE]
Vipi kubemenda mtoto, kuna maana gani? nasikia eti hurusiwi kumgusa mama hadi mtoto atembee, hapo ukimwi utaishaje?, wenye mtazamo huu unawasaidiaje?
Wewe unayaamini? Ulishajaribu kukaa na mama wakati ana mimba hadi ajifungue, halafu ufukizie zile siku 40? Kama jibu siyo practical basi hizo hadithi zote ni feki vinginevyo wote tuliozaliwa na mama na baba zetu tulibemendwa. Watu wanahaha kumaliza siku 40 baada ya kujifungua sembuse hizo karibia mwaka eti kungoja mtoto atembee? :help::help:
Gaijin anachomaanisha Teamo ni wale wanaotoka nje ya ndoa zao kwa mke na mume haina madhara kabisa kwa mtoto, muelewe anachommanisha.
sawa sawa!
gaijin point yake ni kumpa a ''SCIENFIFIC DERIVATION'' kwa sababu yeye anaamini kwamba manamke ni MWANAMKE katika sense ya kwamba nikilala na eliza ni sawasawa nikilalana suzana.kitu ambacho SIO KWELI!
gaijin anataka kuukatalia UMA kwamba kila mwanamke ana ''SCENT YAKE'' ina each and every type of fluid mwilini
gaijin anataka kuukatalia UMA kwamba mtoto hajajenga immunities za kuizoea/kuikabili scent ya mama yake mzazi/hata baba yake mzazi
anyways....
niliahidi kutoliongelea hili kwa sasa
unatembea na chupa ya uhai kwa ajili ya mtarimbo tu. he he heh!Sasa sisi tunao megea kwenye nyasi na kwenye mapagale sijui utaogea wapi jamani!
well saidUnanajua mama Brian hawa vijana wa siku hizi jawafuati ile mila za mababu zetu kuwa kuna kubemenda wamebase zaidi kwenye scientific proof
Ngoja niwape mfano wa mila zilivyo Rafiki yangu mkewe alifanikiwa kujifungua wakampa mtoto jina la shangazi yake kilichotokea ni mtoto kulia sana usiku na wakati mwingine mchanawakapeleka hospitali dr. akawajibu mtoto hana tatizo. Baada ya siku mbili tangu kumpa jina Mama ake rafiki yangu akaja baada ya kumueleza tatizo mamaake akamwambia huyo shangazi yake amshike sikio then wambadilishe jina wampe la lingine baada ya kufanya hivyo na kilio kiaacha hapo hapo na ikawa tiba
sijui hii inahusianaje na sayansi ila usiniulize kwanini kwa sababu hata mimi sijui
hivyo wanachokataza wakubwa zetu tujaribu kuangalia huenda kina madhara kwani nakumbuka wengine wanakataza usitoke nje ya ndoa kabla ya mtoto hajatembea hivyo wanakusisitiza mno usifanye.
Tafadhali wababa tuliopo humu kama mkeo unampenda akiwa kajifungua mvumilie walau mieze 3 kabla hujamuingilia hii haiwezi kukuathiri kwa wewe kuvumilia na uisitoke nje ya ndoa ni vibaya hivyo. vile vile kipindi mkeo akiwa mjamzito muonyeshe upendo moto moto hii itasaidia kumuondolea wasiwasi na mawazo
Kama mkeo kajifungua kwa operation basi jitahidini kuzuia ujauzito kwa angalau miaka mitatu hii inasaidia kumfanya aimarike la sivyo utamchakaza
Ha ha ha ha MMU ilikuwa vere vere aiseee......Mfalme wa Amani aka Carina T.I
Pole dada naona yamekukuta!..