Hommie hii sio sayansi ya jadi....ili kitu kitoe harufu ni lazima vijisehemu (particles) vya hicho kitu visafiri na kuingia kunako pua zako!....mmh! hommie hapo pamekaaje? Mfano wa kitu 'kinachoweza kukaa ndani ya harufu' tafadhali.....
Mfano kijambo. Unapotoa ush.uzi ukasikia harufu basi ujue ndo ushaingiza patikoz za mav.i kumwili:A S-key:
Gaijin...wewe jua kwamba mtoto anatakiwa usafi wa hali ya juu, iwe baba ameduu na wife au kimada ama vyovyote vile, kama mama pia hushauriwi kumnyonyesha mtoto kabla hujasafisha manyonyo yako, hapo ina maana kuwa mama anatakiwa ajiweke msafi kabla ya kumfanyia mtoto lolote kumuepusha na maradhi ya mara kwa mara, hata mie mtoto wangu wa kwanza nilishauriwa sana juu ya usafi ili kumlinda mtoto na maradhi ya mara kwa mara na pamoja na hiyo "kumbemenda" mtoto...nilisahau kuwauliza wale wazee kisayansi kama imedhibitishwa...lol
Hommie hii sio sayansi ya jadi....ili kitu kitoe harufu ni lazima vijisehemu (particles) vya hicho kitu visafiri na kuingia kunako pua zako!....
Unataka nitumie lugha ipi?wewe hebu mdhibitishie Gaijin haya mambo kisayanc wacha kuingiza hayo mengine wengine ndio tunapata breakfast bwana...
hahahahaaa! guest za wapi hizo mkuu!!chafu kiivo??!!
lol hommie.....ni kwamba unachozungumzia hapo nadhani ni kwamba harufu (odor) inakuwepo kutokana na uwepo wa odorants...ambazo ni compounds za aina mbali mbali kwa maelfu zinazoweza kuwa detected na olfactory system yetu (ambazo zipo mbili, main na accessory). Sasa utaona kwamba hapo hatuzungumzii particles hasa ila odorant ambayo ni compound zilizo very specific kutokana na kitu chenyewe. sasa hapa inakuwaje ziwe na 'bacteria'?
lol hommie.....ni kwamba unachozungumzia hapo nadhani ni kwamba harufu (odor) inakuwepo kutokana na uwepo wa odorants...ambazo ni compounds za aina mbali mbali kwa maelfu zinazoweza kuwa detected na olfactory system yetu (ambazo zipo mbili, main na accessory). Sasa utaona kwamba hapo hatuzungumzii particles hasa ila odorant ambayo ni compound zilizo very specific kutokana na kitu chenyewe. sasa hapa inakuwaje ziwe na 'bacteria'?
kuwa na bacteria inawezekana kabisa mkuu!lol hommie.....ni kwamba unachozungumzia hapo nadhani ni kwamba harufu (odor) inakuwepo kutokana na uwepo wa odorants...ambazo ni compounds za aina mbali mbali kwa maelfu zinazoweza kuwa detected na olfactory system yetu (ambazo zipo mbili, main na accessory). Sasa utaona kwamba hapo hatuzungumzii particles hasa ila odorant ambayo ni compound zilizo very specific kutokana na kitu chenyewe. sasa hapa inakuwaje ziwe na 'bacteria'?
Unataka nitumie lugha ipi?
kuwa na bacteria inawezekana kabisa mkuu!
kuna findings zinazothibitisha bacteria kuwepo kwenye air.na kuna baadhi ya magonjwa yanakuwa transimitted kwa air(be it odour au odourless)
wewe lazima ubishe...Very good mpwa Teamo......kumbe sasa tunazungumzia hewa na sio harufu...hivyo ni vitu viwili tofauti.,,,,,ndo maana Gaijin anasema labda ni kujieleza ndo tatizo...kama ni hewa kila kitu kinawezekana!
Ila nakumbuka nilishawahi kukapumulia kamatesha wangu wakati nikiwa mtungi, ile harufu ya bia kakalewa asee.... Hoja ya Roya Roy ina hold water..... Kamatesha kalifakamia sehemu ya bia asee!!!
Pia uwa harufu haiwezi kuwa na madhara...... Wanaoleta madhara ni hao jamii ya germs.
wewe lazima ubishe...
na lazima umbebebe huyo gaijin...
lakini wewe ukweli unaujua.
na ninachokizungumzia unakijua.....
na unachokibishia ninakijua....
bottom line,
ukimaliza KAOGE!USIJE NA MIJIHARUFI YAKO KWA MTOTO!atakuwa hakui
Kuna siku niliamua kuhamishia gemu nje kutokana na harufu maana rumu ilikuwa imechafuka kwa hali ya hewa mbaya
kimboka by night ipo buguruni hehehe
hahaha mpwa ulikuwa unapiga kwa sekunde? na ulikuwa unatumia mtandao gani?
sasa ukimubeba ndo upindishe UKWELI!?you can say that again man......kama anabebeka kwa nini asibebwe? nguvu ninazo. uwezo ninao. Nia ninayo.:help: