Khaaa! Ona huyu naye eti anasema "infact revolution ya jf ili pick up by then".....
Kama we wasema hivyo mi nisemeje sasa? JF ilishika kasi 2007 na 2008 enzi za back and forth kati ya Mwanakijiji na Lowassa kuhusu ndege yake iliyokuwa inapaa.
Enzi za akina Kuhani Mkuu, Kyoma, Muzee ya kumkoma nyani giladi aka Field Marshall ES (Emergency System), akina Masatu, Tafiti Then Jadili, Mugongo Mugongo, Mwafrika wa Kike, Mama, Ukweli, The Truth, RecklessViciousSavage, Bob Mkandara mzee wa T-Dot, Pundit.....
Ujinga ujinga ndo ukaanza 2009 baada ya influx and it has never been the same ever since
Kusema eti revolution ya JF ili pick by then ni ku distort history. JF ilikuwa JF na ndiyo maana 2009 kukawa na influx.