Wanaume: hii ni tabia mbaya, na ni uchafu!

Hahahahaaaa! Ngoja nikachekee nje.

Unajua kama we ni dereva mzuri, gia za mbele zikigoma unatumia gia ya rivasi. Safari inaendelea.... Utapitia upande upi, hapo akili ya mbayuwayu.....
hahahahahaha!
na kibong'ota.....!
 
Hivi mwalimu, harufu mbaya uliyoikamata kwenye domo la mzinzi mwenzio uliyemla denda wakati hajapiga mswaki wiki mbili haiwezi ambatana na mibakteria? AU harufu mbaya na chafu uliyoitoa kwenye kikojoleo cha mzinzi mwenzio ambaye hajawahi kukiosha tangu alipovunja ungo haiwezi kuambatana na wadudu watakaoweza leta madhara ya kachanga?

Pia uwa harufu haiwezi kuwa na madhara...... Wanaoleta madhara ni hao jamii ya germs.

Maneno haya ' harufu inaleta madhara' angesema bibi yangu ningeelewa kwa sababu hailewi dhana ya bacteria lkn yanasemwa na engineer na anatarajia tuyanywe bila ya kuyahoji ukweli wake! Unless aje na maelezo ya kuwa hajui dhana ya chanzo cha maradhi.......

Sasa tunaambiwa kuna kubemenda mtoto..... Ukiomba ushahidi wa kisayansi utambiwa mbishi but I refuse kufata mila blindly asprin...... Aliyetayari kufata na aendelee
 
Teamo unanitaduta?

Asprin Mimi suala langu lilikuwa kwenye harufu na sio germs, virus wala bacteria...... Na ukirudi kwenye posts zangu utakuta nimeeleza kuwa nakubali kuwa tudiwashike watoto wachanga Kama si wasafi

hili la harufu ndo lilonitatiza.....ya kuambiwa kuwa tukubali kuwa HARUFU inatia homa 'mtoto au kuharisha wakati mwengine!

Na kilichonishangaza zaidi ni kuwa HARUFU ya kimada tu ndio Ina madhara......how?

Gaijin,
Harufu sio aina ya nishati....kwa hiyo ili harufu ikufikie lazima sehemu ya hicho kitoacho harafu iingie ndani ya mwili wako!
Then fikiria mtoto kunusa harufu ya infidilation.....!
 
Pia uwa harufu haiwezi kuwa na madhara...... Wanaoleta madhara ni hao jamii ya germs.

Maneno haya ' harufu inaleta madhara' angesema bibi yangu ningeelewa kwa sababu hailewi dhana ya bacteria lkn yanasemwa na engineer na anatarajia tuyanywe bila ya kuyahoji ukweli wake! Unless aje na maelezo ya kuwa hajui dhana ya chanzo cha maradhi.......

Sasa tunaambiwa kuna kubemenda mtoto..... Ukiomba ushahidi wa kisayansi utambiwa mbishi but I refuse kufata mila blindly asprin...... Aliyetayari kufata na aendelee
...taratiiibuuuuuuuu unarudi kwenye mstari!ila unanishangaza kwamba umesimamia neno HARUFU pekee!
unajua swala la HARUFU MBAYA YA MIDOMO,SHAHAWA,K-U-M-A,et al ni matokeo ya TABIA MBAYA NA NI UCHAFU

na mtu anapozungumzia madhara kwa mtoto mchanga hsa kwavile immunities zake bado ni immature na ni chache MTU YOYOTE TIMAMU ATAJUA TU UNAZUNGUMZIA BACTERIA WANAOTOKANA NA HUO UCHAFU NA TABIA MBAYA!sasa wewe mwana mama wewe.........
 
Gaijin,
Harufu sio aina ya nishati....kwa hiyo ili harufu ikufikie lazima sehemu ya hicho kitoacho harafu iingie ndani ya mwili wako!
Then fikiria mtoto kunusa harufu ya infidilation.....!
mwaga mboga RETIRED INFIDELATOR!
 
Hivi mwalimu, harufu mbaya uliyoikamata kwenye domo la mzinzi mwenzio uliyemla denda wakati hajapiga mswaki wiki mbili haiwezi ambatana na mibakteria? AU harufu mbaya na chafu uliyoitoa kwenye kikojoleo cha mzinzi mwenzio ambaye hajawahi kukiosha tangu alipovunja ungo haiwezi kuambatana na wadudu watakaoweza leta madhara ya kachanga?

Hommie...realistically hawa watu wa hivi wanaexist kweli? Kama wanaexist, mtu na akili zako ulizochanganya uanweza kuifidilate naye? kwa kisa kipi?

Unajua sheria yetu ya infidelity no17? "hakikisha unayefanya naye infidelity yupo juu kiaina ili kwamba hata ukikamatwa basi kesi isiwe na nguvu sana manake hata wife atasema ulijua kuchagua" hebu kumbuka ya Mamba na Mswati hapa majuzi...lol

The larger context ni kwamba kama ni issue ya harufu au hata Germs.....sidhani for an average women anayejipenda na kujitunza, inaweza kuwa na madhara ya kiafya kwa kachangaaaaaaa.

Kilichokuwa kinakatazwa hapa ni infidelity ambayo inakuwa juu wakati wa uzazi ili 'kututisha' tu tusitelekeze familia. HATUDANGANYIKI sasa lol

(By the way nane nane inaendelea kuna mnada huku nyama za mafungu....anyone interested? then hola me!)
 
Gaijin,
Harufu sio aina ya nishati....kwa hiyo ili harufu ikufikie lazima sehemu ya hicho kitoacho harafu iingie ndani ya mwili wako!
Then fikiria mtoto kunusa harufu ya infidilation.....!
Umeonae? Lakini watasema tunaongea Ki ERB hapo!

The Following 2 Users Say Thank You to Roya Roy For This Useful Post:

Asprin (Today), Teamo (Today)​
 
Hizi ni hadidhi nilisikia nikiwa mdogo na zilikuwa na lengo la kuonya wanaume wasizini nje ya ndoa pindi mkewe anapojifungua,maana wanaume wengi wakiona wake zao wamejifungua huwa wanatumia hiyo chance kuruka na wengine,hivyo hakuna tatizo umeoga hujaogo yote sawa tu,gd day wanajf nipo busy kidogo,
 
Umeonae? Lakini watasema tunaongea Ki ERB hapo!

The Following 2 Users Say Thank You to Roya Roy For This Useful Post:

Asprin (Today), Teamo (Today)​

Watu hawataki kuelewa kwamba ukisikia haruku ya m@vi ni sawa na umekula vijipatiko vya m@vi....(ashakum si matusi)
 
Hommie...realistically hawa watu wa hivi wanaexist kweli? Kama wanaexist, mtu na akili zako ulizochanganya uanweza kuifidilate naye? kwa kisa kipi?

Unajua sheria yetu ya infidelity no17? "hakikisha unayefanya naye infidelity yupo juu kiaina ili kwamba hata ukikamatwa basi kesi isiwe na nguvu sana manake hata wife atasema ulijua kuchagua" hebu kumbuka ya Mamba na Mswati hapa majuzi...lol

The larger context ni kwamba kama ni issue ya harufu au hata Germs.....sidhani for an average women anayejipenda na kujitunza, inaweza kuwa na madhara ya kiafya kwa kachangaaaaaaa.

Kilichokuwa kinakatazwa hapa ni infidelity ambayo inakuwa juu wakati wa uzazi ili 'kututisha' tu tusitelekeze familia. HATUDANGANYIKI sasa lol

(By the way nane nane inaendelea kuna mnada huku nyama za mafungu....anyone interested? then hola me!)

Hahahaha! Hommie nimekusoma. Teamo hebu klosi hii sredi asee. Kumbe inakinzana na infidelizesheni rules!

Nadhani umemuelewa Hommie hapa sasa. HATUDANGANYIIIIKI!!!!
 
Gaijin,
Harufu sio aina ya nishati....kwa hiyo ili harufu ikufikie lazima sehemu ya hicho kitoacho harafu iingie ndani ya mwili wako!
Then fikiria mtoto kunusa harufu ya infidilation.....!

mmh! hommie hapo pamekaaje? Mfano wa kitu 'kinachoweza kukaa ndani ya harufu' tafadhali.....
 
Unajua sheria yetu ya infidelity no17? "hakikisha unayefanya naye infidelity yupo juu kiaina ili kwamba hata ukikamatwa basi kesi isiwe na nguvu sana manake hata wife atasema ulijua kuchagua" hebu kumbuka ya Mamba na Mswati hapa majuzi...lol
ha ha ha ha!aah MAMBAAAAAAAAAAAAAAA

The larger context ni kwamba kama ni issue ya harufu au hata Germs.....sidhani for an average women anayejipenda na kujitunza, inaweza kuwa na madhara ya kiafya kwa kachangaaaaaaa.

Kilichokuwa kinakatazwa hapa ni infidelity ambayo inakuwa juu wakati wa uzazi ili 'kututisha' tu tusitelekeze familia. HATUDANGANYIKI sasa lol
hapa sasa umenena!
haya kakague
 
Pia uwa harufu haiwezi kuwa na madhara...... Wanaoleta madhara ni hao jamii ya germs.

Maneno haya ' harufu inaleta madhara' angesema bibi yangu ningeelewa kwa sababu hailewi dhana ya bacteria lkn yanasemwa na engineer na anatarajia tuyanywe bila ya kuyahoji ukweli wake! Unless aje na maelezo ya kuwa hajui dhana ya chanzo cha maradhi.......

Sasa tunaambiwa kuna kubemenda mtoto..... Ukiomba ushahidi wa kisayansi utambiwa mbishi but I refuse kufata mila blindly asprin...... Aliyetayari kufata na aendelee

Gaijin...wewe jua kwamba mtoto anatakiwa usafi wa hali ya juu, iwe baba ameduu na wife au kimada ama vyovyote vile, kama mama pia hushauriwi kumnyonyesha mtoto kabla hujasafisha manyonyo yako, hapo ina maana kuwa mama anatakiwa ajiweke msafi kabla ya kumfanyia mtoto lolote kumuepusha na maradhi ya mara kwa mara, hata mie mtoto wangu wa kwanza nilishauriwa sana juu ya usafi ili kumlinda mtoto na maradhi ya mara kwa mara na pamoja na hiyo "kumbemenda" mtoto...nilisahau kuwauliza wale wazee kisayansi kama imedhibitishwa...lol
 
Watu hawataki kuelewa kwamba ukisikia harufu ya m@vi ni sawa na umekula vijipatiko vya m@vi....(ashakum si matusi)

Hahahahaha! Gaijin akuje abishe tena hapa! Mimi sina cha kuongeza hapo!!! Inamaana mtoto akisikia harufu ya K ndio inakuwa kashaingia uvinza kiduchu?:help::help:
 
Teamo...... Tulikuuliza kuhusu germs ukabisha ukasema harufu ndio chanzo......

Mdau mmoja alikuuliza jee haya mabadi tunayopanda na mavumbi ya siku nzima tukirudi nyumbani tunaruhusiwa kubeba watoto? Ukasema madhara ni kutokana na HARUFU ya maji maji ya kimada...... Ungelijibu kuwa hata uchafu wa daladala na vumbi pia unaweza kuleta madhara kwa 'mtoto tingekuelewa......Ila umeshika harufu

Ama chanzo cha maradhi hukijui au una matatizo kwenye uwezo wako wa kujieleza
 
mmh! hommie hapo pamekaaje? Mfano wa kitu 'kinachoweza kukaa ndani ya harufu' tafadhali.....

Mfano kijambo. Unapotoa ush.uzi ukasikia harufu basi ujue ndo ushaingiza patikoz za mav.i kumwili:A S-key:
 
Teamo...... Tulikuuliza kuhusu germs ukabisha ukasema harufu ndio chanzo......

Mdau mmoja alikuuliza jee haya mabadi tunayopanda na mavumbi ya siku nzima tukirudi nyumbani tunaruhusiwa kubeba watoto? Ukasema madhara ni kutokana na HARUFU ya maji maji ya kimada...... Ungelijibu kuwa hata uchafu wa daladala na vumbi pia unaweza kuleta madhara kwa 'mtoto tingekuelewa......Ila umeshika harufu

Ama chanzo cha maradhi hukijui au una matatizo kwenye uwezo wako wa kujieleza
:clap2::clap2::clap2:
 
Mfano kijambo. Unapotoa ush.uzi ukasikia harufu basi ujue ndo ushaingiza patikoz za mav.i kumwili:A S-key:

wewe hebu mdhibitishie Gaijin haya mambo kisayanc wacha kuingiza hayo mengine wengine ndio tunapata breakfast bwana...
 
Back
Top Bottom