Wanaume hebu tuulizane, unaanzaje kumpiga mwanamke?

hawa viumbe silaha yao namba moja ni kubwabwaja.

ukiishaona anambwambwaja,shime.usithubutu kumgusa,kama unaweza ondoka eneo hilo ni vyema.
kanywe,kama una demu kaoshe rungu,huwezi kashinde hata kijiweni na wana.

kwa kutofanya hivyo utamgusa tu,kama kafundwa basi una bahati atanyamaza.kama hajafundwa lazima avimbe na kuanza kirusha matusi makubwa zaidi,nawewe utaona ni bora umzime ngebe,badala yake utamzima mazima au kumjeruhi vibaya sana kisha utakwenda jela,ndio bro utakwenda jela.

ukiona mwanamke mjuaji sana,wewe muonyeshe kwamba hujali wala nini.
Daah natamani ingekuwa kweli
 
Sasa kwanini upige makofi?
Ukitaka kusiwe na shida ndani ya nyumba, hakikisha unasimamia nafasi yako kama mke, tumia ulimi wako vizuri, majibu ya hovyo yenye kukera yasiwe sehemu ya mazungumzó yako, kuwa mtu wa kupenda suluhu kuliko malumbano na kujikweza, tofauti na hapo ni wanaume wachache watavumilia ujinga.

Na siku ukienda polisi nitaomba nilale hata wiki moja huko, ili nikitoka tusionane, uwe umeshaondoka.
 
Kila mtu asimame kwenye nafasi yake.
Mwanamke asimamie nafasi yake kumtii na kumuheshimu mume na mumewe ampende mkewe kama Kristo alivyolipenda kanisa.(wenvi wao hawajui hata upendo huu unataka nini,sifa mojawapo ya upendo ni adabu,upendo haukosi kuwa na adabu..jiulize kama kumnasa mwanamke kibao ni adabu).

Siyo mke tu pekeyake ndiye asimamie nafasi yake halafu mumewe yeye haangaiki kukaa kwenye mstari,
Mimi najijua kuongea siwezi,siwezi fikia hatua ya kumkosea mtu hadi akanipiga..labda aamue tu yeye kunipiga.
Na akijichanganya kunipiga nampeleka ndani.

Hivi unadhani muda huo nakupeleka kwa wajeda,unadhani nitabaki kwako?
Nabakije kwenye nyumba ya bondia iliyogeuzwa uwanja wa ngumi?

Eli79

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mie napenda mwanaume anizidi akili....yaan kila kitu nikimpasia akisolve....yaan hapo ntakaa! Mwanaume mkorofi mie tutalazana ndani maana na mm mtata balaa,hao playboy yes wazuri wanakata KIU
Daaah tena ulivo bonge ntakupiga mbupu balaa
Ebu njoo pm tuongee vzr bonge wangu
 
Kila mtu asimame kwenye nafasi yake.
Mwanamke asimamie nafasi yake kumtii na kumuheshimu mume na mumewe ampende mkewe kama Kristo alivyolipenda kanisa.

Siyo mke tu pekeyake ndiye asimamie nafasi yake halafu mumewe yeye haangaiki kukaa kwenye mstari,
Mimi najijua kuongea siwezi,siwezi fikia hatua ya kumkosea mtu hadi akanipiga..labda aamue tu yeye kunipiga.
Na akijichanganya kunipiga nampeleka ndani.

Hivi unadhani muda huo nakupeleka kwa wajeda,unadhani nitabaki kwako?
Nabakije kwenye nyumba ya bondia iliyogeuzwa uwanja wa ngumi?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
unalala mbele mapema!
 
Hivi mkuu unafahamu midomo yetu wanawake ilivo na maneno ya kukera sometimes wewe? Si vizuri kupigana ila sometimes inaboa pale unamwambia mtu juu ya jambo fulani na hasikii afu ana kimdomoo , inaleta hasira na vile wanaume huwa si waongeaji sana, anakuvumilia ila likimfika kooni ni lazima ule makonzi japo kidogo kurestore akili.

NB: wanaume na nyie msipige sana hadi kuumizana na kuuwana hizo hasira gani bana
Nani kakuharibu akili lakini? Nae akikukosea unampiga?
Ukisharuhusu kupigwa basi usimuwekee mipaka acha tu tu akudunde hadi akuue maana ndio itakufanya usikie au uelekezeke.
 
hili swala linajadilika jf ila mtaani hali ni tofauti kabisa.

kuna mwingine alienda mbali alithubutu kusema mke wake akizingua hua hampigi, humfuata na kuanza kumpiga mabusu mpaka mke anaomba msamaha
Huku mtaani wanaopigwa ni wanaume wengine mpaka.wanakimbia nyumba
 
Uliza members wa kanda ya ziwa, hii laana ya ukatili kwa wanawake imetamalaki kwa asilimia kubwa sana ukanda ule
 
kumpa kitasa mwanamke ni kama kujiua tu,hupangi! anajikuta tu kala kibao. sikuwahi kufikiria,ila siku moja alinikera mnooo akala kibao cha mdomo
Duu mdomo unao chonga ukala banzi sipati pic alizimikaje utazani tanesco wanavyobeba umeme wao!
 
Behave mkuu..pls n pls
Sasa mkuu nimekuelewa moyo umekudondokea niache kusemwa kweli??
Hapana mi nakuambia tuu
Sasa Mimi nakupenda siwez kufa na kitu rohon

Ondoa shaka kabsaa kuhusu Mimi ku behave vzr
Najiheshimu sana ila nakupenda Sana

We njoo pm tuongee vzr bhana
 
Jiashue hapa unitaftie ban!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom