Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,926
- 236,475
Huruma inaweza kuniingia nikakutoa ila ukirudia tena kosa haki ya nani hapo utaona upande wangu mwingine wa roho jinsi ulivyo mbaya.Na ukinipeleka ndani utanitoa sababu unaogopa kulala mwenyewe najua [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app