Kila mtu asimame kwenye nafasi yake.
Mwanamke asimamie nafasi yake kumtii na kumuheshimu mume na mumewe ampende mkewe kama Kristo alivyolipenda kanisa.
Siyo mke tu pekeyake ndiye asimamie nafasi yake halafu mumewe yeye haangaiki kukaa kwenye mstari,
Mimi najijua kuongea siwezi,siwezi fikia hatua ya kumkosea mtu hadi akanipiga..labda aamue tu yeye kunipiga.
Na akijichanganya kunipiga nampeleka ndani.
Hivi unadhani muda huo nakupeleka kwa wajeda,unadhani nitabaki kwako?
Nabakije kwenye nyumba ya bondia iliyogeuzwa uwanja wa ngumi?
Sent from my SM-A105F using
JamiiForums mobile app