Wanaume hebu tuulizane, unaanzaje kumpiga mwanamke?

duh iyo kwly kali na mbaya kz ninapoishi dirisha langu linapakana na nighbour hood mmoja ivi yn huyu jamaa anamfua manzi ake htrr af anadunda ile ya kufunda yn anapiga km anagusa kz hataki kelel mwanadada nae anagumia kimya kimya ozaaa anachuliwa mt had bs mpk si wa ng'ambo huku tunaona how come yn jamaa anazingua unataman ukamkunje ila daaah ndo ile t unaacha wt na maisha yao lkn kumdunda manzi jau
Sometimes you avoid arguments, for example, during the fight, leave the area so that you do not have to throw a fist at her for free
 
Huyo manzi anamtegemea mwana kwa 100% ndo maana unaona anagugumia!
 
Swali hili kina Chacha, Maginga, Mwita, Marwa, Masanja na Maganga yanawahusu.
Mmekua midomi zege mnashindwa ku argue na wanawake mpaka mnawapiga..
 
Nina miaka 39 ya ndoa nilishakuwa mkongwe wa changamoto za ndoa Ila so kumpiga mwanamke
Ongera kwa hilo lakini kumpiga mwanamke hakuna anaye ninacho jua makosa yapo mengi omba yasikukute. Badala ya kupiga utachinga
 
duh iyo kwly kali na mbaya kz ninapoishi dirisha langu linapakana na nighbour hood mmoja ivi yn huyu jamaa anamfua manzi ake htrr af anadunda ile ya kufunda yn anapiga km anagusa kz hataki kelel mwanadada nae anagumia kimya kimya ozaaa anachuliwa mt had bs mpk si wa ng'ambo huku tunaona how come yn jamaa anazingua unataman ukamkunje ila daaah ndo ile t unaacha wt na maisha yao lkn kumdunda manzi jau
Sometimes you avoid arguments, for example, during the fight, leave the area so that you do not have to throw a fist at her for free
Siku nyingine andika vizuri basi ili tusome na kuelewa,.Si hivi daa !
 
Hahahaha nkmecheka kaa sauti hadi mke kanishangaa...JF raha sana hakika.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Na asubuhi nimetoka kumdunda mwenzao..
Ushauri kwa wanawake wote "Hata uwe Nani kwenye hii dunia/Maisha haiwezi kukubadili,kaa ukijua utaendelea kubaki kuitwa m/ke tu.hivyo mipaka msiivunje kwa kutaka kuwapandia wanaume vichwani"
 
Ngumi hapana, ila makofi na kelebu nitampa za kutosha kama ikihitajika kufanya hivyo. Kelebu huwa zinasaidia ku'restore settings zao.

Sitaki kuwa mnafiki kabisa katika hili.
 
hahahaha yechu sana ila kelebu na mabanzi mpimie km ya 500MB
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom