Wanaume hebu tuulizane, unaanzaje kumpiga mwanamke?

Wanaume hebu tuulizane, unaanzaje kumpiga mwanamke?

Ex wangu aliwahi kujisahau tukiwa tunabishana eti akasema Kummk [emoji16] Aisee nilimchapa kama mtoto full macho kuvimba mixer mdomo ila kikubwa yule Mwanamke alikuwa na mapenzi na Mimi tu ila kwa Mwingine angekwenda Polisi maana alishindwa mpaka kutembea kabsa [emoji3060] kuna Wanawake wazuri sana na kuna wengine ni majanga
 
Sasa mkubwa, hata kama ameliwa na mwingine, ukimpiga ndio unafuta kilichotokea? Si unaongeza matatizo tu?

Kwanza Mkuu nikitambua kuwa manzi yangu imeliwa tunda na mwanaume Mwingine... Hapo masuala ya ndoa sijui uchumba yanakufa (natural death)[emoji16] Naunga mkono juhudi za nasepa Za kutumia mali ya umma [emoji112]
 
Ex wangu aliwahi kujisahau tukiwa tunabishana eti akasema Kummk [emoji16] Aisee nilimchapa kama mtoto full macho kuvimba mixer mdomo ila kikubwa yule Mwanamke alikuwa na mapenzi na Mimi tu ila kwa Mwingine angekwenda Polisi maana alishindwa mpaka kutembea kabsa [emoji3060] kuna Wanawake wazuri sana na kuna wengine ni majanga
Hahahaha alikua anahisi we shoga yake eeh! Hapo harudii tena
 
Mtu anapomuadhibu mkewe huyo anampenda.!
Lakini akimpuuzia huyo hana Time na mkewe wala wivu hana..
 
Hahahaha alikua anahisi we shoga yake eeh! Hapo harudii tena

Nikikumbuka huwa nacheka sana... Nilimpiga kofi akaniita baba yangu Nisamehe [emoji16] Ila Naomba Mungu anisamehe jamani maana sio kwa kichapo kile.... Halafu imagine nilikuwa 26 years Halafu yeye ndo 19 [emoji16]
 
Mtu anapomuadhibu mkewe huyo anampenda.!
Lakini akimpuuzia huyo hana Time na mkewe wala wivu hana..

Ni Heri umpe mapigo kuliko kukaa kimya... One day Mwanakulifind Mwanakuliget huyo Mwanamke atatamani hata ungemkaripia tu [emoji16]
 
Ni Heri umpe mapigo kuliko kukaa kimya... One day Mwanakulifind Mwanakuliget huyo Mwanamke atatamani hata ungemkaripia tu [emoji16]
Hawajui wanataka nini..
Siku nyingine pesa,siku nyingine mtu wa kuwa command..!
Siku nyingine watataka kutawala waume zao..!
We akizingua mtie kwenzi tu
 
Hv hii kanuni kuwa nyie ndo wajuaji wa mwisho mmeitoa wapi? Kwamba nisiargue au? Kwamba kila utakachosema kisa ww ni me bas iwe imepita..nisihoji?? Kwanini mna kasumba za namna hii kujiona nyie ndo kila kitu ? Mie nahoji na nnapinga kwasababu ..! Siwez ambiwa kila kitu nikakubali..nna haki ya kuuliza,kusikilizwa,kushauri,kukemea,! Nk
Kuna namna ya kuhoji kitu kwa mwenzi wako, hakuna haja ya kuhamaki wakati mwezio kaongea na wewe kwa lugha ya polite. Nina mfano wa kesi moja nilikuwa naamua (kama mhusika atakuwa humu naomba aniwie radhi, hii yote ni kwa ajili ya kujengana tu). Jamaa alikuwa ameenda na familia yake nyumbani kwao (wanaishi na wazazi ndani ya mkoa huo huo), walivyofika nyumbani walikuta kuna wageni wengine. Baba yao hakuwepo, lakini alikuja baada ya muda kupita, wakati mzee anaingia ndani watu wote walisimama kumsalimia kasoro mkwe (mke wa jamaa) alisamia akiwa amekaa kwenye kiti kwa shikamoo na kutoa mkono. Jamaa kwa busara alimtumia meseji mke wake pale pale kwamba kwanini anamsalimia baba mkwe wake huku amekaa? Baadae wakiwa wamefika nyumbani mke wa jamaa akawa anajitetea kwa kuwa baba mkwe hakuonesha kama hajapenda salamu hiyo basi yupo sahihi. Kibaya zaidi yule binti akaanza kufoka na kumtukana mme waku kuwa anamambo ya kizee. Jamaa uvumilivu ulimshinda akajikuta katembeza makofi kadhaa kwa mke wake.
 
Huyo naye akapimwe...ila kuna makabila kusalimia hawapigi magoti..! Alikosea...uwii..wasukuma hapo utajuta
 
Hahahah sasa kama una discpline maswala ya makofi utayaskia kwa mbu tu! Mbu pekee ndio watapigwa makofi [emoji851][emoji851][emoji851]

Tatizo sie wapole wapole tunakosa watoto wenye nidhamu na upole wa kutuliwaza nafsi zetu! Hawa wenzenu wapenda battle ndio tunawazabuaga deile! Maana mtu anaharisha tu hajui upo katika mood gani mwisho wake lawama!

Hamna haja ya mkataba kama una adabu ya kutosha na kujitambua wewe ni mwanamke!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Nani huyo alitukanwa mbele za watu?
Na sababu ilikuwa ni nini?

Yawezekana yeye mwenyewe mwanaume alisababisha hivyo,kuna wanaume hawajielewi..
Simaanishi kwamba kutukana mbele za watu ni vizuri ,hapana
Lakini wanaume mmeagizwa mtupende wale zenu,sifa mojawapo ya upendo ni uvumilivu na adabu..utakapomtandika ngumi mkeo kwa namna yoyote,basi wewe hauna upendo.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Upendo uja panapo heshima na utii.Kumtukana mme wako mbele za watu ni kumuacha uchi.
 
Hahaha, shemasi hiyo midomo muwe makini nayo sana. Mke mwema atauchunga ulimi wake bwana, sio kuropoka na kufunga vibwebwe. Tofauti na hapo ni vidume wachache watavumilia upuuzi, mimi sijawahi kupiga though, nina namna yangu ya kushughulikia "kero" za namna hiyo.
Unazishughulikia aje? Niibie mbinu Shem?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom