Tuwasamehe buree...Wigi ni kujiremba sana?? Nimechelewa kujua😂
Uko sahihi sana, ila sisi tukilewa , huyo wa mkorogo anakuwa recategoraised to an amazing chotara wa kizungu/kiarabuDR VRM
Mimi mwanamke akijipaka mkorogo Yan akinigusa tu najiskia kukosa nguvu jumla... Kanakwamba nimeona mtu kapata ajali ya ghafla..
So hata hotelini akinisave mdada alojikoboa nslipia natembea.
.exactly, hawa ni viburudisho, kundi moja na pombe, bangi, mirungi n.kYaani hawa viumbe tukiwaita vyombo vya starehe wanasema tunawatukana
Wakati wao wenyewe wanasexualize mbele za wanaume kwa mikato yao ya kimitego ili tunase
Ok tunanasa tunawatongoza tunawalomba lengo lao linakuwa limetimia. Na atafanya hivyo kwa wanaume zaidi ya mmoja
Sasa sijui huwa wanapta wapi nguvu ya kukataa kuwa wao sio vyombo vya starehe
Achana na ya mwamposa unaifahamu pisi ya ambwene mwasongwe?aiseee kumbe na watumishi wanapenda vinono🤗🤗🤗🤗🤗Wengine tupo na manara na Ki, tunapenda walimbwende! Umeona pisi ya mtume Mwamposa?
Achana na ya mwamposa unaifahamu pisi ya ambwene mwasongwe?aiseee kumbe na watumishi wanapenda vinono🤗🤗🤗🤗🤗
Akili zenu hazina akili,Tusipojiremba mnatuona tupo rafu mnaenda mnatafuta wanaojiremba, hamueleweki mnataka nini bana🤔
Kale ka kiuno nyingu alikofunganga nako ndoa ndo kalimbwaga au mwingine?Pisi ya kwanza ya mbwene ilimpiga Chini kisa mkwanja ... Jama ni mstaarabu Sana yule... Japo nyodo za hapa na pale hazikosi Ila Jama ana deserve Ile pisi as alihenga hapo kabla hajajipata.
Ndugu yangu somo hili ulifanyie Kazi, unyoe uweke Ka way kamoja Kama hapo profile, saafi kabisa.Nipo kusoma comments tyuuh hapa, nikiwa na 🍿zangu.
Woiiiih 😂😂😂😂😂
Jirembe jirembe mamaTusipojiremba mnatuona tupo rafu mnaenda mnatafuta wanaojiremba, hamueleweki mnataka nini bana🤔
Kwakweli Sisi huwa tunawavumilia tuu,Wanaume wanafki sana..!!
Ukienda kuchunguza wake zao ndo utaona walivyo mapampula..!!
Wengine wake zao wameungua na cream mpk kwenye mipodido, sura nyekundu km Matraco ya nyani..
Walimu wapi hao?? Mbona walimu wangu wabonyokwa primary wapo fresh tuuuWala sijamind ila muache unafiki 😹😹
Wake wa walimu na mapolisi wote tunawajua walivyo, sasa hawa wanapinga nini?? Na ndo wake zao wako hivyo… 😹🤣
Afu mbona mie ni mdau wa Low cut kitambo sanaaa.Ndugu yangu somo hili ulifanyie Kazi, unyoe uweke Ka way kamoja Kama hapo profile, saafi kabisa.
Abari ya kuwa na ma wigs sijui za uturuki mara Brazilians hairs, bei ukiuliza ni laki nne hapana kabisa
Shikilia apo apo...Afu mbona mie ni mdau wa Low cut kitambo sanaaa.
Huwa naweka way had 3, afu unyama sanaa.
😂😂😂😂
Mzee wa hall V.Shikilia apo apo...
Kwakweli kuna wale wadada wananyoa ki afro flan hivi Wana kisogo flan hivi na Ka way kamoja... Wanavutia saana, wawe maji ya kunde wasiwe na komwe
We mwenye komwe ruksa kuvaa wihg yaan minywele nywele ya wigh imhifadhiMzee wa hall V.
Una visa weyee, sasa komwe inakujaje tena?
😂😂😂😂😂
Hawa ni watu wawili tofauti, hawana hata chambe ya undugu