Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,904
Na zile taa za rangi rangi za usiku zikimmulika unasema hapa nimepata mwarabu au mpemba, balaa linakuja asubuhi ukimwona laivu na pombe zimeshakataUkipiga kvant au nyagi wanapendeza kuzidi