Miili makontena au😆Wake za polisi wanajiamini Sana .... Yani wanafanya wanavyopenda na Mili yao ... I fail to comprehend the source of such confidence.
Adi mimi nilikuepooHicho kikao kimefanyika wapi..unaleta.mrejesho.hapa
Unamaanisha kama yule wa Tanga pazuri?Mwanamke anayetumia mkorogo anatia kinyaa sijui wanaume wenzetu wanawezaje kuwatomba
KUna wale wanawake wanaopaka mikorogo wanatia kinyaa Sana na hata sio weupe wamekuwa wekundu hata kuwasogelea unaogopa!
Hii ishu nilikuwa najua ni mimi tu labda niko na ugonjwa wa kuchukia wanawake wanaojiremba sana.
Yaani nikionaga wamevaa yale Mawig huwa nachefukwa,halafu wenyewe utawaona wanarembuarembua macho wakidhani kwamba ndio wanatuvutia sana.
Huwa napenda mwanamke aliye natural yaani awe msafi tu na avae nguo za kawaida na sio avae vile viatu vyenye visigino virefu halafu awe amesuka kawaida tu au hata akinyoa tu bado anapendeza kama yuko natural.
Hata mimi mtu aliyejikoboa sana akileta chakula huwa sipendi aniongeleshe sana nataka aweke sahani mezani kisha apotee eneo hiloHaupo peke ako ndugu. Yaan Mimi achana na kumgusa alojikonoa ... Yan hata hotelini mtu alojikoboa akinihudumia msos nashindwa kula. 🤣🤣🤣