Wanaume hatupendi wadada wanaojiremba kupitiliza

Wanaume hatupendi wadada wanaojiremba kupitiliza

"African men marry wife material and then cheat with women of their dreams"
On some point nakubaliana na mtoa "sredi" but personally naamini kua tunapenda tupate mama bora wa watoto wetu na familia kwa ujumla i.e a simple woman, but at the same time tunapenda kuridhisha tamaa zetu za kingono na hao hao vichenchede wenye unga wa ugali usoni
 
Wanaume tunataka muwe simple kama huyu mrembo sio mazaga zaga utafikiri duka la urembo linapita njiani

downloadfile-10.jpg
 
Ok so kujiremba inaruhusiwa, ila isiwe too much, basi sawa tumeelewa
Hapo tupo pamoja

Unajua naendaga kwenye harusi nakuta bibi harusi kakandikwa ma make up mpaka unashindwa kuelewa hivi ndiyo huyu shemeji yetu au mwanetu alimua kuchukua chuma kingine dakika za jioni

Kumbe ni yuleyule sema yale matakataka yamembadilisha hadi muonekano

Unakuta mikucha kama shetani, mikope kama yule kahaba Yezeberi. Pigo nyingi mnazojiremba zinakuwa zimekaa kimalaya malaya

Acheni hizo wanaume hatuna habari nazo kabisa
 
Back
Top Bottom