Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,904
Hatujiweki kwenye mambo ya wanawake ila tunawaambia ukweli acheni pigo zenuAcheni kujiweka kwenye mambo ya wanawake, tunajiremba kwa sababu tunapenda, siyo kwa ajili yenu.
Mbona mkishajiremba kama hoes mnajipitisha pitisha sana mbele zetu wanaume?