Hatari sana, labda wengine wanaficha ukoka kichwani, lakini Mimi naona kama mwanamke atatunza vizuri nywele zake na ngozi yake anakuwa Bomba zaidi, wapo wanawake tunawaona wako vizuri na nywele zao na ngozi zao halisi. Shida inakuja kwenye matunzo ndo balaa hivyo ni ile funika twende ya chap chap, mara nyingine labda wengine hawajiamini nk.