Wanaume hatupendi wadada wanaojiremba kupitiliza

Wanaume hatupendi wadada wanaojiremba kupitiliza

Bora kusuka hata zile rasta zenu, ila mawigi hatuyapendi,

Unatoka na mtu nje ana kichwa cha Rihana, wakati wa kulala au kuoga ukifika gafla mtu anabadilika muonekano anakuwa Juma Pilimbi
 
Bora kusuka hata zile rasta zenu, ila mawigi hatuyapendi,

Unatoka na mtu nje ana kichwa cha Rihana, wakati wa kulala au kuoga ukifika gafla mtu anabadilika muonekano anakuwa Juma Pilimbi
Zile rasta Raha yake kuziona zimepakizwa kwenye boda bodaa yaan boda IPO speed basi zinapepeaaaa....

Ila usiku zinawatesa mno muda wakuoga na kulala asipo zipiga spray Kazi unayo
 
Bichwa linavuliwa na kutundikwa kwenye msumari,

Unavua bichwa lako je ww ni binadamu wa kawaida? 🤪
 
mimi wangu ana nywele za asili halafu ndefu huwa anazibana tu kama msabato au anasuka kimbembe kipo kwenye kucha anapenda kucha za bandia kupita maelezo
 
1745126767462.png
 
Back
Top Bottom