Wanaume hatupendi wadada wanaojiremba kupitiliza

Wanaume hatupendi wadada wanaojiremba kupitiliza

Wanaume kamili au wanaojiita wanaume, huku wana tabia za kike?
Mwanaume hisia kiongozi ....

Kuegemeza hisia kwenye wigi na Brasilian hair ni kukosa nguvu za k iu me mze. ...

You have to eat it raw .... As it is.
Yan UKIKULA PALE KWA BED UNAKULA DONA. Sio vitu vimekobolewa.

Mwanaume kamili hawez kudata na lips nyekundu akat lips oG zipo.
kope za wanja badala nywele,
Kucha bandia Kama msyuka akat kucha og zipo ....(maybe zipakwe rangi sawa).

Kudata na wanawake walojiremba kupitiliza ni kukosa nguvu za kiume mkuu.

#JIAMINI KULA DONA MKUU. NI TAM SANA .....🙏😎😎😎🙏

Sinoni eat it when it's clean and raw mjomba. Utaenda round mingi Sana.

Mara ooh .. usinivute nywele zita achia ...
Usinikiss Sana sjatembea na lipstick,
Uson.. ngoja nikanawe hii makeup ....

Aaaaah. Shubaaaaaamit. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haiwahusu Ila tu niwaambie mwanaume akiwa unakula vya kakienyeji .. saikolojia yake inakua strong. 🤣🤣🤣.

Na hazeeki na stress mapema.
 
Kale ka kiuno nyingu alikofunganga nako ndoa ndo kalimbwaga au mwingine?

Binti alomkataa alimkataa Jama myaka ya 2013 kisa hajasoma.

From there Jama kajisajiri TIA kapiga diploma yake saafi.

Now nje ya kazi anazofanya naskia anadela na furniture na anajina kubwa town. Na anatembelea V8.
 
Hapo tupo pamoja

Unajua naendaga kwenye harusi nakuta bibi harusi kakandikwa ma make up mpaka unashindwa kuelewa hivi ndiyo huyu shemeji yetu au mwanetu alimua kuchukua chuma kingine dakika za jioni

Kumbe ni yuleyule sema yale matakataka yamembadilisha hadi muonekano

Unakuta mikucha kama shetani, mikope kama yule kahaba Yezeberi. Pigo nyingi mnazojiremba zinakuwa zimekaa kimalaya malaya

Acheni hizo wanaume hatuna habari nazo kabisa
Hee haya mkuu, tumekuelewa😀
 
Kwakweli Sisi huwa tunawavumilia tuu,

Ila kutoka moyoni hatupendi kabisaaa, tunapenda natural...Kama MH Queen sendega

Kuna wadada wengi wavingunguti na mbagala wameungua USO hivi kuungua USO kunatokana na lokeshen au??
Wale wanapaka mikorogo ya low budget na location zao jua linawachoma sana hata sunscreen hawana..!!
Wengine mama ntilie moto unawachoma lazima wawe vile..!!
 
Wale wanapaka mikorogo ya low budget na location zao jua linawachoma sana hata sunscreen hawana..!!
Wengine mama ntilie moto unawachoma lazima wawe vile..!!

Mh. Japo bado sipendi mikorogo Ila okay .. now naona you speak ...
Acha ikawe elim kuwa madhara in general yapo .. Ila ukiwa mtu wa low budget madhara ni ya upesi zaidi.
 
Hatimaye tumepata watetezi!!🤓🤓🤓
Hebu weka msuko tuuone aiseee! Nilikuwa nampenda sana waziri mmoja enzi ya Kikwete anaitwa Dr. Fenella Mukangara! Yule sister alikuwa pure local breed alikuwa ananivutia sana yule mdada! Sijui yuko wapi siku hizi? Chuma hiki hapa!😁😁😁😂😂😂
Screenshot_20250421-133116_Chrome.jpg
 
Mi sisuki nanyoa Tu siku zote nywele zangu ni fupi fupi!

Sasa shibela
Mimi najua Baba ake na shibela anasim ya mikononi.. Sasa ni PM namba yake.....
Nataka niongee nae nione Kama na yeye ni mzee wa UBAYA ubwela nimtumie zawad ya jersey moja moto kabisa hapa.
🙏😁😁😁😁😁🙏

Au hutaki mze avae jersey ya ubaya ubwela afurahi na Wana ubaya ubwela wenzie ????

Ee mama ????

Af na wewe ntakununulia Ile jersey ya buluu ... Na kidude Cha mkononi kile kimeandikwa I LOVE YOU SIMBA. sawa ?
 
Ooo

🙁🙁🙁🙁Sina namba yake kashatangulia mbele za haki,Mungu aendelee kuipatia roho yake Pumziko takatifu!!

Sawa usijari.
Najua huko aliko atakua anataman upate mme Bora ambae anaweza kukusuka mabutu ya kulalia ....

Sema sijui uko MKOA gan.
Ngoja nitulie kwanza.🙏🙏🙏 😁😁😁😁🙏🙏🙏🙏

Ila MUNGU ailaze Roho ya kipenzi Baba yetu aliyetuzalia katoto kwenye akili ambako hakapendi hata kuweka mawigi kichwani sabab kanajikubari vile kalivyo na kipilipili chake ambacho hata achane vizuri vipi ... Upepo ukipuliza tu zinavurugika tena.... 🙏🙏🙏
 
Nimecheka Kwa sauti🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimecheka Kwa sauti🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

I get you babe shibela Cheka Ila kua makini usivunjoke mbavu...

Ivi unahisi nikiweza kukuchekesha ni kipi ntafeli hapa duniani sa ?

Mimi ntashindwa kumtoa ex wangu kafala ili nipate gari zuri kwajir yako dear ???
 
Urembo kwa wanawake uwe simple and classy

Mademu mliowapost hapo na kuwasifia wana foundation, lipstik kidg plus mwanga wa kemera,

Me mke wangu ajitahidi awe mrembo kiasi, anavutia...
 
I get you babe shibela Cheka Ila kua makini usivunjoke mbavu...

Ivi unahisi nikiweza kukuchekesha ni kipi ntafeli hapa duniani sa ?

Mimi ntashindwa kumtoa ex wangu kafala ili nipate gari zuri kwajir yako dear ???
Sitaki gari kipenzi nataka jero tu ya daladala!
Usiku mwema!!!
 
Back
Top Bottom