.. huwa ni camouflage katika mapambano ya kuwanasa wanaumeNimefanya kautafiti kidogo nikagundua mademu wengi wenye shepu hua hawaangaiki saana kujiremba.. ila hawa SONY WEGA sasa..😆😆
FactMoja kwa moja kwenye point... Nikiongea kwa niaba ya wanaume wote wenye akili sawasawa ......(Excluding all madmen)
Ndoto yetu ya pamoja Kila mwanaume ni kuwa na mke anaesuka twende kilioni nzuri ... Af ngozi ya kichwa ionekane pale kwenye vile vinjia njia vile.
Sio ubahili Ila ndo ndoto yetu kwa pamoja. 🙏😎🙏.
Leo nime mnanga Sana Mdogo Ang wa kike .. yani amejaza mawigi chumbani kwake hadi hewa inakua nzito... matokeo yake Kila siku kazi kutuumwia mafua hapa.
Binafsi naona kujilemba Sana ni kukosa self esteem....
Wanasema ukiona mwanamke hajajiremba sana lakini bado anaonekana mzuri, basi ujue huyo ni mwanamke mzuri sana!Yakienyeji kabisa hii.
Af kwa bed ndo zinakua tam Sana ...
Wewe mkuu unaambiwa hakuna kitu hawa watu wanapenda kama ile feeling ya kuona mwanaume wanambabaikiaJambo ambalo huwa linanishangaza zaidi ni kuwa unakuta mwanamke ameolewa ana ndoa yake na familia lakini amevaa suruali au skirt inayomuonesha makalio yake yalivyobana.sasa unajiuliza huyu amevaa hivi kumuoneshea nani????
Mwanamke huyo huyo aliyevaa hivyo yeye anakuambia anajiheshimu,98% ya wanawake wote ni makahaba wasio jipanga barabarani awe msomi asiwe msomi,awe na kazi au asiwe na kazi,awe na biashara au asie na biashara.
Hili ni tatizo lako wewe mzaliwa wa Maula Newala. Wengine tunataka wanaojiremba (bora isiwe kujiremba kilimbukeni ie. wanaiga na kuwa kituko). Unajua maana ya mwanamke kuwa ''sexy''?Moja kwa moja kwenye point... Nikiongea kwa niaba ya wanaume wote wenye akili sawasawa ......(Excluding all madmen)
Ndoto yetu ya pamoja Kila mwanaume ni kuwa na mke anaesuka twende kilioni nzuri ... Af ngozi ya kichwa ionekane pale kwenye vile vinjia njia vile.
Sio ubahili Ila ndo ndoto yetu kwa pamoja. 🙏😎🙏.
Leo nime mnanga Sana Mdogo Ang wa kike .. yani amejaza mawigi chumbani kwake hadi hewa inakua nzito... matokeo yake Kila siku kazi kutuumwia mafua hapa.
Binafsi naona kujilemba Sana ni kukosa self esteem....
Nipo kusoma comments tyuuh hapa, nikiwa na 🍿zangu.
Woiiiih 😂😂😂😂😂
Hili ni tatizo lako wewe mzaliwa wa Maula Newala. Wengine tunataka wanaojiremba (bora isiwe kujiremba kilimbukeni ie. wanaiga na kuwa kituko). Unajua maana ya mwanamke kuwa ''sexy''?
Kujiremba sana SIYO SAWA na kujiremba kilimbukeni.Soma btn lines and btn words kiongozi .. unalolisismamia ndilo linasimamiwa na mtoa Uzi pia .
Mwanamke asiyejiremba Sana ..
NB : asiyejiremba Sana.
Wanaume kamili au wanaojiita wanaume, huku wana tabia za kike?Anawakilisha wanaume KAMILI sorry.
N A K A Z I A📌🔨Nilishawahi kuwaambia yale makorokoro wanayopaka usoni minywele ya gharama wala hatunaga mpango nayo kama mzuri wewe ni mzuri tu
Labda kama wanafanya kutambiana na wanawake wenzao ila sisi tunaona takataka tu