Wanaume asilimia kubwa tumeoa wake za watu

Wanaume asilimia kubwa tumeoa wake za watu

Kwa msingi huu, kwani wanawake na wao wanapata waume zao? Je, na wao hawapati waume za watu? Ni wanaume wangapi wanaoa wakiwa hawajatumika?
 
We bado una mawazo ya bikra dunia hii! Unachelewa best... Utabambikiwa bureee.
 
Kwani mnaoa mtu,au mnaoa K?,

tatizo la wabongo ndo hili,yaani mawazo yote yapo kwenye K tu,
 
Kwani mwanamke uitwa mke wa mtu wakati gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaitwa mke wa mtu pale anapovunjwa bikira na huyo mwanamme wake ila wengi wetu hivi sasa, tunaenda kufunga ndoa kanisani ili wadau wajue kua nawe umeoa ila kimbembe nipale anapokutana na alemtoa hyo bikra lazma uchapiwe,,, vp ulishawah jiuliza kabla ya dini kuletwa Africa mababu zetu wali consider nn katka kuoa kwao???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom