Wanaume asilimia kubwa tumeoa wake za watu

Hata wanawake wameolewa na waume za watu kwa sababu wote wamekutana tayari wameshaanza kugegedana huko walipotoka.
 
Hili halipingiki bt linauhalisia...asilimia kubwa tumeoa au tuna tembea na wake wa wenzetu..ikumbukwe zamani mtu mpaka anaoa alikua anazindua yeye kila kitu (bikira), sasa imagine wewe mkeo alizinduliwa na nani mpaka unakula makombo (japo haina makombo) [emoji22], basi jua yule aliefungua goli la mkeo ndio mme halali wewe ni kibaraka tu(usipanic), ndio maana mwanamke atawasahau wanaume wote alio date nao bt si yule aliemfanya aijue raha ya dunia..

[HASHTAG]#mpo[/HASHTAG] walezi wenzangu wa wake za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea ukwel mtupu mkuu,, maana yule aliemtoa bikra ndo kafunga agano na huyo binti ile damu inavyomwagika, na huyu binti atakaeolewa na jemba mwingine cku akikutana na mwana lazima amuheshimu xna na pengine wakumbukie enzi. Ukifuga nyoka iko siku atakumbuka porini

Mkuu tafadhali nirudishie mke wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea ukwel mtupu mkuu,, maana yule aliemtoa bikra ndo kafunga agano na huyo binti ile damu inavyomwagika, na huyu binti atakaeolewa na jemba mwingine cku akikutana na mwana lazima amuheshimu xna na pengine wakumbukie enzi. Ukifuga nyoka iko siku atakumbuka porini

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji22] [emoji22] maskini dah...kweli tunavuruga maagano ya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili halipingiki bt linauhalisia...asilimia kubwa tumeoa au tuna tembea na wake wa wenzetu..ikumbukwe zamani mtu mpaka anaoa alikua anazindua yeye kila kitu (bikira), sasa imagine wewe mkeo alizinduliwa na nani mpaka unakula makombo (japo haina makombo) [emoji22], basi jua yule aliefungua goli la mkeo ndio mme halali wewe ni kibaraka tu(usipanic), ndio maana mwanamke atawasahau wanaume wote alio date nao bt si yule aliemfanya aijue raha ya dunia..

[HASHTAG]#mpo[/HASHTAG] walezi wenzangu wa wake za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitaalamu mwanamke huwakumbuka watu watatu tu katika maisha wakitokea wakaomba mzigo lazima atoe nao ni
1.Aliyemtoa bikra
2.Aliye zaa nae mtoto/watoto
3.Aliyefunga nae ndoa hadharani
uje kati ya hao watatu kitalaamu unashauriwa ukikosa bikra basi angalau ufunge nae ndoa na kuzaa nae utakuwa umepunguza kuchapiwa/Kupigiwa wife
 
Hili halipingiki bt linauhalisia...asilimia kubwa tumeoa au tuna tembea na wake wa wenzetu..ikumbukwe zamani mtu mpaka anaoa alikua anazindua yeye kila kitu (bikira), sasa imagine wewe mkeo alizinduliwa na nani mpaka unakula makombo (japo haina makombo) [emoji22], basi jua yule aliefungua goli la mkeo ndio mme halali wewe ni kibaraka tu(usipanic), ndio maana mwanamke atawasahau wanaume wote alio date nao bt si yule aliemfanya aijue raha ya dunia..

[HASHTAG]#mpo[/HASHTAG] walezi wenzangu wa wake za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukimchunguza sana alacho bata, katu huwezi kumla. Hivi ukitembea na mke wa mtu shida si kupata raha au watoto? Hilo halipo? Ukiwaza sana hayo iko shida katika rungu lako.
 
Back
Top Bottom