Wanaume asilimia kubwa tumeoa wake za watu

Wanaume asilimia kubwa tumeoa wake za watu

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,387
Hili halipingiki but linauhalisia, asilimia kubwa tumeoa au tuna tembea na wake wa wenzetu ikumbukwe zamani mtu mpaka anaoa alikua anazindua yeye kila kitu (bikira),

sasa imagine wewe mkeo alizinduliwa na nani mpaka unakula makombo (japo haina makombo) basi jua yule aliefungua goli la mkeo ndio mume halali wewe ni kibaraka tu(usipanic), ndio maana mwanamke atawasahau wanaume wote aliodate nao but si yule aliemfanya aijue raha ya dunia.

[HASHTAG]#mpo[/HASHTAG] walezi wenzangu wa wake za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili halipingiki bt linauhalisia...asilimia kubwa tumeoa au tuna tembea na wake wa wenzetu..ikumbukwe zamani mtu mpaka anaoa alikua anazindua yeye kila kitu (bikira), sasa imagine wewe mkeo alizinduliwa na nani mpaka unakula makombo (japo haina makombo) [emoji22], basi jua yule aliefungua goli la mkeo ndio mme halali wewe ni kibaraka tu(usipanic), ndio maana mwanamke atawasahau wanaume wote alio date nao bt si yule aliemfanya aijue raha ya dunia..

[HASHTAG]#mpo[/HASHTAG] walezi wenzangu wa wake za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nilizindua mwenyewe, sasa sijui unamaana wanaume wepi sana. kama hukuzindua ni wewe. sisi wenzio kitu ilikuwa mwake kabisa.
 
Back
Top Bottom