Wanaume asilimia kubwa tumeoa wake za watu

Wanaume asilimia kubwa tumeoa wake za watu

Wewe endelea kuamini katika hizo imani zako za mwaka 47.na hiyo yote nikwasababu yakuamini katika mwanamke 1.Ungekua unawaza kua na jeshi la wanawake na watoto ili nawewe uwe ni mwanzilishi wa ukoo wako wala usingekua unawaza hayo.
 
Punguza hasira..ila kumbuka huyo ni mwenza wako na sio mkeo..mwenye mke nae yupo kwa mke wa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili halipingiki but linauhalisia, asilimia kubwa tumeoa au tuna tembea na wake wa wenzetu ikumbukwe zamani mtu mpaka anaoa alikua anazindua yeye kila kitu (bikira),

sasa imagine wewe mkeo alizinduliwa na nani mpaka unakula makombo (japo haina makombo) basi jua yule aliefungua goli la mkeo ndio mume halali wewe ni kibaraka tu(usipanic), ndio maana mwanamke atawasahau wanaume wote aliodate nao but si yule aliemfanya aijue raha ya dunia.

[HASHTAG]#mpo[/HASHTAG] walezi wenzangu wa wake za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa lugha nyingine wanawake wengi wameolewa na waume wa wenzao... maana hata wao walizindulia mahali
 
loading error............................
 
Hivii hii story kwamba mwanamke hawezi msahau mtu aliemtoa bik.... mnazitoa wapi? Mbona siwasikiagi wanawake wenzangu wakiongelea ilo suala?

Sent using Jamii Forums mobile app
True......kwanza anaaanzaje kumuweka kichwani mtu aliyempa maumivu wakati anajamiiana naye.....aache kumuwaza aliyempa raha kwa mara ya kwanza?!

SONY Xperia Z5 Premium
 
ONYO:Utafutaji wa bikra kupita kiasi ni hatari kwa maisha yako
Tafakari chukua hatua, HAKI ELIMU ngwaaa ngwaa
 
Hapa umeshika pabaya.Kama nimekuelewa unakumbusha wale wote ambao hawajaoa ,na wazazi pia kurudi kwenye misingi na maadili ya dini na mila .Tuwafunde watoto wetu wajiepushe na zinaa na wawe na subra mpaka siku yao ikifika.Kuna baadhi ya Mikoa kuna unyago na jando.,basi hivi vitu vitumike kuhimiza waume na wake watarajiwa kujitunza mpaka siku ya ndoa ili kuepuka kuitwa mme au mke wa mtu ilihali hajawahi kuolewa/kuoa.Tukubali uzi huu una hoja na wengi wanaougusa wana simulizi za kutoa kuunga mkono mada hii.
 
Labda kwanza tufahamu maana ya ndoa. Halafu ili ndoa iwe ndoa ni mambo gani yanahitajika kufikiwa au kutekelezwa. Je, hao wanawake walioolewa na wanaume ambao walikwisha fanya ngono na wanawake wengine je na wao wanawasaidia wale wanawake wa kwanza wa waume zao?
 
Hapa umeshika pabaya.Kama nimekuelewa unakumbusha wale wote ambao hawajaoa ,na wazazi pia kurudi kwenye misingi na maadili ya dini na mila .Tuwafunde watoto wetu wajiepushe na zinaa na wawe na subra mpaka siku yao ikifika.Kuna baadhi ya Mikoa kuna unyago na jando.,basi hivi vitu vitumike kuhimiza waume na wake watarajiwa kujitunza mpaka siku ya ndoa ili kuepuka kuitwa mme au mke wa mtu ilihali hajawahi kuolewa/kuoa.Tukubali uzi huu una hoja na wengi wanaougusa wana simulizi za kutoa kuunga mkono mada hii.
Amina ndugu sasa wewe ndie muelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mengine kausha blaza........utaharibu ndoa za watu hapa...maana povu zinamwagika balaa😉😉😉😀😀
 
Back
Top Bottom