Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Ewaaaaa.... sasa umeanza kuongea kiutu uzima.babu sikuwezi ATI,hamna namna acha mzipende Tu bana
Afu kwanini unajiita "my hubby". Unataka kuoa dada zako?? Tabia gani hiyo?
Ewaaaaa.... sasa umeanza kuongea kiutu uzima.babu sikuwezi ATI,hamna namna acha mzipende Tu bana
Huu hapa ''wanywa pombe mpaka anywe ndio apate mzuka''
Utaoa wanawake wenzio?? Khaaaa!mmmh ntawaoa Tu maana mmeshindwa kazi nyie
Habari zenu,
Hivi kwanini wanaume ambao hawanywi au hawatumii pombe husakamwa kua ni walevi wa wanawake?
Nini kinawafanya watu wawafikirie vile au ni kuwaonea wivu kua hawanywi wanaokunywa hawawezi kuacha?
Hua nasikia Sana oooh ambao hawanywi pombe wanapenda Sana wanawake,mbona hata wanaokunywa pombe wanapenda wanawake Sana Tu,tena wengine mkilewa huchukua ma barmaid,wengine hujutia asubuhi akili ikimrudi kukuta kalala na kichaa ,
Yaan pombe huwafanya mfanye mambo ambayo mkiwa hamjanywa hamuwezi fanya.
KUMBE WANAKUWA NA AKILI MBILI
Na bia zenu hizo Hua zinawafanya mnanuka mwili mzima pombe ,mdomo unanuka kama choo khaa!!!
Upande wangu naona bora ambae hanywi kwa kweli,hata kwenye mapenzi hategemei konyagi ndio apate mzuka,wanywa pombe mpaka anywe ndio apate mzuka ,yaan akilewa ndio mfanye mapenzi kwa hiyo pombe ndio inamsisimua na sio mwili wa mwanamke,mlio na waume/au wapenzi wanaokunywa hebu jaribuni wafanye mapenzi wakiwa hawajanywa pombe muone
msiwasakame ambao hawanywi jamani
Sema nn pombe inakuwa sio kama ukizidisha kipimo
Ingawaje kipimo sahihi SIKijui ila kwangu ni bia 4 mwisho
My hubbymmmh ntawaoa Tu maana mmeshindwa kazi nyie
Yaani nikiwaza kumkisi mtu alokunywa pombe huwa naskia kinyaa Na mara nyingi naishia kumpotezea tho roho inauma maana unakuta mwingine yuko ndani ya sifa zinazonilipua moyo. Sijui hili tatizo ni langu tuu? Yaani harufu ya pombe inanifanya niteme ovyo.
Siku nyingine usirudie... utanifanya niogope kukutongozanatania
Nasikitika huna mamlaka ya kunizuiami staki unitongoze
MkuuHuo utafiti umeufanya lini?
Pole sana mkuu,ukapime kwanza afya na ukikuta huna HIV basi kuwa makini sana na ikiwezekana oa kabisa utulie na mmoja.duh asee Mimi pombe imekua ibilis kwangu maana hua naeza kutana na demu tu nkampa bia 2 nikaishia kugongana NGOZ nikiamka hua najuta kishenz maana najikuta nilisahau ndom na nikiwa kawaida hua nawadharau sana wadada
nilienda kuchek Mara ya kwanza fresh bdo ya pili sa iv mkuuPole sana mkuu,ukapime kwanza afya na ukikuta huna HIV basi kuwa makini sana na ikiwezekana oa kabisa utulie na mmoja.