Wanaume: Acheni kutoa lifti kwa wadada

Wanaume: Acheni kutoa lifti kwa wadada

Ila na mimi nko nazichanga huku, likifika dau ninalojua litatutosha kwenda kuishi hotelini hko mbugani serengeti walau mwezi mmoja tukiponda raha nakuibukia,,..,.,,,,.........cha msingi uwe unalipa
mkuu nimeshawahiwa
 
mm makubwa
ila lift toeni ila akina dada nao wawe makini na watu wa watu sio uungwana kujifaragua kwa mtu wa watu jamani
nitakuja kuleta fundo hivi karibuni maana naona hapa watu hawajafundwa namna inavyotastahili
 
mkuu nimeshawahiwa
Na mimi tiyari mkuu ila hvo hvo tutachepukiana maana nilishakuwekeaga nadhiri......ila kwa kuwa nakaribia kuuza ekari zangu kadhaa nkaona si vibaya nkakutaarifu ili uanze kuset mistari mapema ya kum wambia Mr.......
 
ila inakera sana, kuna siku niliomba shemeji yako anipitie mahali, alivyokuja akawa na mdada alimpa lift amekaa mbele,
nikafungua nikakaa nyuma,
nikaona nakwazika nikamwambia apark napitia sokoni so atangulie,
mi huyo nikashuka nikapanda daladala tukakutana nyumbani.

Whaaaaat!! Aiseee wewe mpole sana, haijawahi tokea kwangu na haitatokea, maana ananielewa vizuri tu.
 
hasa wakati wa mvua hizi lifti zinaishiaga nyumba za wenyeji...
 
tena nyuma kabaisa mbali
Tatizo watu huwa hawapendi kuambiwa au kusema ukweli! Tunaishi kwenye jamii inayoendekeza unafiki!
Wakikujua in mtoa lift wanaanza kukuwekea mitego! Wanasearch hao wadada mpaka wajue unatoka nyumbani SAA ngapi kwenda kazini na inapita njia IPI! Halafu wanakuvalia kimtego tego! Hawana aibu kabisa unakuta anataka kukaa mbele kama kuna nafasi! Ukimfungulia mlango wa nyuma na mbele kuna nafasi ananuna! Ebo!
Ukweli ni kwamba ukiendekeza kutoa lift kwa wadada kuna siku utategeka maana wengine wazuri hasa lakini ndo hivo tabia sifuri!
Halafu kwa nini umpe pressure mkeo/mchumba? Au kuna mke/mchumba yupi hatapata pressure akikuona umebeba kimwana anachodhani kuwa kimemzidi uzuri na urembo halafu kimevaa kimtegotego na kimekaa mbele? Wanawake semeni wenyewe!
 
Teh..teehh...teeehhhh...😀, Bilashaka Sisi tunao miliki baiskeli hatuhusiki hapa aiseeee....
nyie mnahusika mvua ikinyesha marupurupu ni kulowana mpaka padlock
 
Tatizo watu huwa hawapendi kuambiwa au kusema ukweli! Tunaishi kwenye jamii inayoendekeza unafiki!
Wakikujua in mtoa lift wanaanza kukuwekea mitego! Wanasearch hao wadada mpaka wajue unatoka nyumbani SAA ngapi kwenda kazini na inapita njia IPI! Halafu wanakuvalia kimtego tego! Hawana aibu kabisa unakuta anataka kukaa mbele kama kuna nafasi! Ukimfungulia mlango wa nyuma na mbele kuna nafasi ananuna! Ebo!
Ukweli ni kwamba ukiendekeza kutoa lift kwa wadada kuna siku utategeka maana wengine wazuri hasa lakini ndo hivo tabia sifuri!
Halafu kwa nini umpe pressure mkeo/mchumba? Au kuna mke/mchumba yupi hatapata pressure akikuona umebeba kimwana anachodhani kuwa kimemzidi uzuri na urembo halafu kimevaa kimtegotego na kimekaa mbele? Wanawake semeni wenyewe!
kiukweli ni bora usitoe lifti huwa inaumiza sana
 
Back
Top Bottom