Wanaume: Acheni kutoa lifti kwa wadada

Wanaume: Acheni kutoa lifti kwa wadada

mimi kinachonifanya kutowapa wanaume wenzangu lift hata kama nniwafahamu ni kuwa siwaamini kabisa wanaume, unaweza ukampa lift na mwisho wa siku hata akakuua au kukujeruhi kisa anataka kukuibia.
MSIMAMO WANGU: SITAACHA KUWAPA LIFT WANAWAKE HATA SIKU MOJA.
 
Kwani kumpa lift ndio mpaka uchepuke nae, ukimchekea ovyo atakuzoea kiboya,mpe lift kua serious, mambo ya kuanza kuulizana sijui wakaa wapi,wafanya kazi wapi, ohhh umependeza shabashi kwanini aache kukutega sasa, wee mpe lifti then vunga tena wa mpakiza seat za nyuma huko, wewe wadrive wafungulia mziki watulia kimyaaaaa. Akifika anaposhuka wamshusha waendelea na safari yako(HAPA MELENGA WENYE MAGARI)
Dar! mkuu hapa umeongea neon ambalo kwa kweli huu ni mtego mkubwa sana tena sana, kwa mwanaume hata kama wewe utakuwa mjanja vipi utanaswa au kutoka kwako kwenda kwake au kutoka kwake kuja kwako. Hili ni jaribu kubwa kulishinda yataka moyo kweli kweli!!
 
tena nyuma kabaisa mbali
Wananchosha wanawake wanapewa lift, wanakaa mbele na AC anawasha, mziki anaongeza sauti, nne anakunja, anavaa na nguo zetu zile ukikaa upaja nje, kumwagiwa tindikali kunahusika kwa kweli
 
wengine hadabu hatuna utakuta kanyanyua na mkono kashika kiti cha mzee halafu akimgusa utasikia sorry nyambafu
 
Kwani kumpa lift ndio mpaka uchepuke nae, ukimchekea ovyo atakuzoea kiboya,mpe lift kua serious, mambo ya kuanza kuulizana sijui wakaa wapi,wafanya kazi wapi, ohhh umependeza shabashi kwanini aache kukutega sasa, wee mpe lifti then vunga tena wa mpakiza seat za nyuma huko, wewe wadrive wafungulia mziki watulia kimyaaaaa. Akifika anaposhuka wamshusha waendelea na safari yako(HAPA MELENGA WENYE MAGARI)
Mafikizolo usije ukatoa hiyo ruhusa tunatega balaaa kola ya shati itakaa vibaya atarekebishwa huku wakijifanya wanaoneana aibu..... mabinti wengi story za siasa wala mpira hawana ... wanaume umbea umbea hawana sasa hapo mtaanza kuongelea nini kitakacho waweka pamoja ? labda kama muanze ibada out of that mtaongelea mapenzi tu foleni hii ya dar masaa manne njiani story zikiisha kheee mie nimepiga makufuru
 
Hahahahah miss chagga unakula wambuzi wamtupa backbench huko wewe kimya hakuna kuremba story hamna wewe ni kuangalia mbele macho nyuzi 90 hahahaha,maana kuna wengine wampakiza anaanza kugusa hiki mara kile ooooh gari yako inanukia, mara ongeza sauti

mwanzo atajaribu ila bwana zile jinsia mbili zikaa pamoja wanavutana anaweza kukaa siti ya nyuma kile kioo cha kuangalia nyuma jamaa akawa anatumia kumchungulia binti mwisho wa siku wanakutana macho kwa macho binti anadondosha jicho chini kwa aibu hapo labda kama ni hanisi ila mzima atahamishiwa kiti cha mbele na ataweka na tinted
 
Hahahahah unakauzoefu mekushtukia mama

hawawezi kukutana macho kama anamwangalia kwenye kioo maana binti wa nyuma hawezi jua anaangalia
 
Aaaanh lift msitunyime jamani

Ila mwanaume ukiwa umeoa pakiza wanawake nyuma, sio wakae mbele ka vile mkeo
ila inakera sana, kuna siku niliomba shemeji yako anipitie mahali, alivyokuja akawa na mdada alimpa lift amekaa mbele,
nikafungua nikakaa nyuma,
nikaona nakwazika nikamwambia apark napitia sokoni so atangulie,
mi huyo nikashuka nikapanda daladala tukakutana nyumbani.
 
Ni nzuri ni kutoa mara moja moja ila usijenge mazoea na hao uwapao lift, si wanaume wala wanawake wenye tabia mbaya.
ina maana leo ukinikuta utanipa,kesho ukinikuta unanipotezea?! utaleta picha gani?
 
waambie wenyewe ndo wasiombe lifti..
ye akiomba na mi naomba tunakuwa tunaombana..!
kwani tatzo liko wapi..?
mnalipana! wengine wanafunzi mkuu,utalipa na riba!
 
Back
Top Bottom