Mwanaume NISIEMFAHAMU hapandi gari yangu.Nina maanisha wanaume/masela(wana) hii kiswahili ya mtaa mkuu
mkuu usije kumjaribu fisi kwa kumuwekea nyama huku ukijapa moyo hawezi kulaKwani kumpa lift mdada ni lazima umgegede? i'm a man sometimes waweza kumpa lift hata mshkaji mwenzako, au demu unaemfahamu simply because umejiskia tu. kuchepuka ni tabia ya mtu, uyo mpenzi wako hata kama asingekuwa na iyo gari akitaka kuku-cheat anaku-cheat tu.. miss chagga
Kwa hiyo ungemshusha?
Hata bila lift tamaa zitakuwaka tu popote pale.Tamaa inahamasishwa na lift
Siwezi fikiria swala la jinsi utakavyonielewa na wakati gari ni la kwangu na ni kwa matumizi yangu binafsi, kukubeba iwe mara moja moja si mbaya.ina maana leo ukinikuta utanipa,kesho ukinikuta unanipotezea?! utaleta picha gani?
Tamaa ni tabia ya mwili, ujanja ni kukwepa mazingira ambayo tamaa itataka kuwaka! Moja ya mazingira ni kutoa lift kwa wadada wawindaji! Utawajua tu! Atataka kukaa mbele na kujishaua! Hawana mshipa wa aibu hata kidogo!Kwani tatizo ni lift au tamaa?
Nawewe utakubalije akae mbele? Toa lift ila akae nyuma tena kwa heshima. Ila tatizo nyie hamna dogoTamaa ni tabia ya mwili, ujanja ni kukwepa mazingira ambayo tamaa itataka kuwaka! Moja ya mazingira ni kutoa lift kwa wadada wawindaji! Utawajua tu! Atataka kukaa mbele na kujishaua! Hawana mshipa wa aibu hata kidogo!
Tatizo ni watu kujifanya hawana matatizo kabisa! Umenichekesha sana na mfano wako wa fisi! Tena wanaojifanya kuwa hakuna matatizo ndio moto wa kuotea mbali!mkuu usije kumjaribu fisi kwa kumuwekea nyama huku ukijapa moyo hawezi kula
Siku ya kwanza anaweza kukaa nyuma, lakini atajiwekea malengo ya kukunasa! Kuna siku atakunasa! Ujanja ni kukwepa kabisa mtego ndani ya GARI kwa manufaa ya mke/mchumba na familia kwa ujumla!Nawewe utakubalije akae mbele? Toa lift ila akae nyuma tena kwa heshima. Ila tatizo nyie hamna dogo