miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,803
- 49,109
mtani unamruhusu mama ampe lifti kidume ?Huo ni uchoyo mengine ni tabia tu ya mtu
mtani unamruhusu mama ampe lifti kidume ?Huo ni uchoyo mengine ni tabia tu ya mtu
kidogo mkuupunguza jazba miss chagga! looh
Kwenye vitu vya maendeleo aje. . Ila lift kwa my man apande kwenye buti labdamna miwivu kitu! kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie!
unaanika mambo yetu hadharani miss chagga! taratibu duh!mwanzo atajaribu ila bwana zile jinsia mbili zikaa pamoja wanavutana anaweza kukaa siti ya nyuma kile kioo cha kuangalia nyuma jamaa akawa anatumia kumchungulia binti mwisho wa siku wanakutana macho kwa macho binti anadondosha jicho chini kwa aibu hapo labda kama ni hanisi ila mzima atahamishiwa kiti cha mbele na ataweka na tinted
sisemi tenaunaanika mambo yetu hadharani miss chagga! taratibu duh!
Mama leo umefunguka kweli kweli.............ila hope mr atakuwa na kisu kikali maana ninavokujuani vizuri ukafanya ila tu isiwe kama ndiyo utaratibu .. ila kiukweli inaumiza kuona mpenzi wako au mume wako anampa vibinti lifti mara kwa mara mbaya zaidi unakuta jamaa hana limit wanajiachia kwenye gari tu mara miguu ipo juu ya dashboard au kakunja juu ya kiti ... aisee mi nimemwambia mr toa lifti ila nisimkute humo ndani ya gari na kama ni muhimu sana huyo mtu kupewa lifti wakati unakuja kunifuata aisee nipe taarifa in advance ili mkifika hapo nitengeneze tabasamu langu la plastic ili asijue kama nimemind na pia hakikisha anakaa siti ya nyuma si akae mbele eti anafika ndiyo anajifanya kunipisha , kama hutaki tatizo na mimi sababu akishuka nitahakikisha hapandi tena ha ha haha si uchoyo (abiria chunga mzigo wako).. inauma unakutana na demu kakuzidi mbali halafu anapewa lifti,.... au unakufukunyua unakuta we umeingia bahati mbaya mikato wa mademu wake wa zamani ni wa aina fulani halafu ndiyo kila ukikuta katoa lifti sampuli hizo hizo inauma sana aiseee ila yote ni wivu tu .. kiukweli na wivu ha ha haha nalinda mali zangu mniache ..... makurufu kutoa lifti hapa tumekubaliana kabisa na akitoa nisijue basi..
anacho kikali mkuuMama leo umefunguka kweli kweli.............ila hope mr atakuwa na kisu kikali maana ninavokujua
alishindwa kujiongeza huyu dada na shemeji pia kha!ila inakera sana, kuna siku niliomba shemeji yako anipitie mahali, alivyokuja akawa na mdada alimpa lift amekaa mbele,
nikafungua nikakaa nyuma,
nikaona nakwazika nikamwambia apark napitia sokoni so atangulie,
mi huyo nikashuka nikapanda daladala tukakutana nyumbani.
Hongera kwa kuishi ndoto zakoanacho kikali mkuu
kweli mkuu.upo sahihi asilimia 100Tatizo Wanawake Wengi Wanaopewa Hizo Lift, Wanataka Kupata Hiyo Nafasi Zaidi Ya Siku 1, Hii Ni Kutokana Na Matatizo Ya Kugombea Madaladala Kila Siku! HIVYO Kidume Kikimpatia Lift Tu Mtt Wa Kike Atajishau Hadi Kidume Kiingie Mtegoni, Kukiunganisha Na Hivyo Vimini Au Taiti Zenu Mnavyovaa!!! Mhhhh!! Kidume Lazima Kiingie Mtegoni, Mmekaa Ktk FOLENI Saa Zaidi Ya 2.30!!! Wee Labda Uwe Mtt Si Riziki, Lkn Rijali!!!!!
asante mkuu ..Hongera kwa kuishi ndoto zako