Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Kwani utakua unampa kila siku hiyo lift?Siku ya kwanza anaweza kukaa nyuma, lakini atajiwekea malengo ya kukunasa! Kuna siku atakunasa! Ujanja ni kukwepa kabisa mtego ndani ya GARI kwa manufaa ya mke/mchumba na familia kwa ujumla!