Wanaume: Acheni kutoa lifti kwa wadada

Wanaume: Acheni kutoa lifti kwa wadada

Hii iliwahi kunitokea, mvua imeninyeshea tena nikiwa nimelowana chepeeee...na wakati huo mkojo umenibana.
Yaani sikuona haja ya kwenda tafuta sehem ili nipate kujisaidia, nilicho amua ni kufungulia valve tu maana hakuna ambae angejua kwamba nimejikojolea ilhali nilikua nimelao kwa mvua aiseee...😀
Hahahaa umenichekesha sana,ukafungua na valve kabisa eew....
 
leo nimekumbuka wimbo wa zamani.wa bendi.zetu kongwe nahisi ni DDCJapo mnaweza kunisahihisha.wimbo una kiitikio kifuatacho
mwanamke anamwambia mumewe kuwa
KUTOKA NYUMBANI OYSTERBAY KUFIKA.SALENDER GARI LANGU LILINIZIMIKIA,YULE KIJANA ALINISAIDIA KUSUKUMA GARI.
Kisha mwanamke akampa lifti kijana!
Mwanaume anajibu.
KILICHONISHANGAZA SIO LIFTI MAMAA WATOTO; NI TABASAMU NA VICHEKO VILIVYOKUWEMO NDANI YA GARI.
Mwisho Mwanaume anamalizia
NILICHANGANYIKIWA MIDOMO ILIANZA KUNICHEZA MFANO WA MTU.........Nimesahau.hapo
lakini.all.in all lifti ni sheedah.kwa couples
 
Ushawai kumpenda dem na kumfia mazima kiasi kwmb anakwambia ye ana msela lkn we huelewi..unamkazia!!
Inabidi dem asisitize,"I HAVE ONLY ONE HEART,PLZ, I CANT LOVE TWO MEN"
Nawewe unaona haiwezekan,unamwambia 'NIPENDE ATA NA KIDNEY'[emoji12]
 
NYAPU NYINGI TUNASHARE.UKILIJUA HILO UTAISHI KWA AMANI
 
I Greet you all,

Naongelea wanaume walio katika mahusiano na wenza wao.Wanaume wenye vyombo vya usafiri kama baiskeli, bodaboda, bajaji na gari.

Wanaume wengi maisha yao ya mahusiano yanabadilika atakapojiingiza kwenye kutoa msaada wa usafiri kwa wadada, mara nyingi hizi lift zinaishia kuanzisha mahusiano au michepuko.

Wako wanaume wachache wenye nia njema wanapotoa msaada huo hawana budi kuendelea. Lakini kama wewe ni mdhaifu, weka kanuni kuwa hutasimama kupakia mwanamke kwenye chombo chako cha usafiri.

Badala yake saidia wanaume wenzio wanaoenda kutafuta maisha ili waje kuendesha vizuri familia zao. Kwa yeyote ambaye mahusiano yake au mchepuko wake aliupata katika mazingira kama haya karibu tujumuike.

Madhara ya lifti kama unayemchukua ni jirani na kwako unatakiwa umchukue kila siku, siku usipomchukua unaonyesha unaroho mbaya au umepata mwingine wa kumchukua au umemchoka, inaleta maswali.siku ukiwa na mwenza wako official unakosa amani kabisa.

Lets share wale wenye uzoefu na hii hali.
Inategemea bwana na Muda .....mm naingia evening classes na kuna jamaa anakaa mitaa ya kwetu tupo wote ila hawezi kuondoka nakuniacha lazima anisubirie na usipnda sikuhiyo anasikitika sana ....ila sasa ukiiingia lazima ukae backseat .
 
sawa Dada,ungesoma kwa makini nimeandika kuwa wanaotoa lift kwa nia njema(kiroho safi bila hila) waendelee.so sina tatizo na hilo.
 
BOB LUSE

mm nafikiri mpatie lift unae mfahamu tu.. tena bila kuweka mazoea mazoea awe me/ke na kesho au kesho kutwa akikuomba lift tena au kukupigia simu kbs eti umeshapita? ohh Mara nakusubiri hapa.. mwambie ukweli kuwa hii siyo "school bus" ukishindwa kuwa muwazi basi hapatakuwa na maana ya we we kununua hiyo gari..
huwezi badili root/kum kwepa kwepa kisa hutaki kumpa lift bora uize hiyo gari update nauli za daladala 400 au 600 za kila siku
 
I Greet you all,

Naongelea wanaume walio katika mahusiano na wenza wao.Wanaume wenye vyombo vya usafiri kama baiskeli, bodaboda, bajaji na gari.

Wanaume wengi maisha yao ya mahusiano yanabadilika atakapojiingiza kwenye kutoa msaada wa usafiri kwa wadada, mara nyingi hizi lift zinaishia kuanzisha mahusiano au michepuko.

Wako wanaume wachache wenye nia njema wanapotoa msaada huo hawana budi kuendelea. Lakini kama wewe ni mdhaifu, weka kanuni kuwa hutasimama kupakia mwanamke kwenye chombo chako cha usafiri.

Badala yake saidia wanaume wenzio wanaoenda kutafuta maisha ili waje kuendesha vizuri familia zao. Kwa yeyote ambaye mahusiano yake au mchepuko wake aliupata katika mazingira kama haya karibu tujumuike.

Madhara ya lifti kama unayemchukua ni jirani na kwako unatakiwa umchukue kila siku, siku usipomchukua unaonyesha unaroho mbaya au umepata mwingine wa kumchukua au umemchoka, inaleta maswali.siku ukiwa na mwenza wako official unakosa amani kabisa.

Lets share wale wenye uzoefu na hii hali.
Usitupangie
 
Back
Top Bottom