Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,524
Amna nimekukumbusha tuUnaona umetoka nje ya mada 😄😄😄
Amna nimekukumbusha tuUnaona umetoka nje ya mada 😄😄😄
HahahHicho kibesi pelekea hao wengine
We ujue sipendi kupigwa tu fullstop.
kwahiyo nakuombea umpate asiependa kipigo km mimi...siku moja umpige ndo utajua Eva alipata wapi ujasiri wa kula tunda na bwana yule anaetambaa mavumbini
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ipi mkubwaLete risiti tuone proves hizo
Una shida mdogowangu kama unapiga mwanamke
haijalishi kama mnapendana sana ipo siku mnaweza kutofautiana,sasa hapo itategemea uwezo wenu wa kimaongezi;kama wote mtakuja juu lazima kipigo kitokee n.kUkiwa na Mapenzi ya kweli hutompiga mkeo
Ila kwasababu mwanamke uliemuoa hujampenda kwako NI sawa tu
Hahah
Hahahah unaongea tu mama, sema nkwambie kitu! Mwanamke ambae hapendi kupigwa like serious huwaga yuko lenient sana kwenye mahusiano. Yani hakuna mda atatengeneza mazingira ya kubutuliwa always anashukaga in the event of misunderstanding! Sasa hata ile jazba unayokuwa nayo kidume inashuka maana unaona mke amepooza ugomvi unaliachia lipite kilaini tu. Ukimzoea mkeo mpole wala huwezi hata kumpiga hata awe mzembe kiasi gani. Im pretty sure wewe uko hivyo kapeace.Ni heri nikufumanie lakini sio kunipiga( kwangu halina msamaha wa dhati)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana sipendi kupigwa kwanza niko mwepesi kuomba msamaha hata kama sio kosa langu,,,Hahahah unaongea tu mama, sema nkwambie kitu! Mwanamke ambae hapendi kupigwa like serious wengi huwaga lenient sana kwenye mahusiano. Yani hakuna mda atatengeneza mazingira ya kubutuliwa always wanashukaga in the event of misunderstanding! Im pretty sure wewe uko hivyo kapeace.
Haha we huwez kupigwa mama, labda uolewe na mleviNdo maana sipendi kupigwa kwanza niko mwepesi kuomba msamaha hata kama sio kosa langu,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahhMiaka 5 kumjua mwanamke basi we mwanaume utakuwa tahira
Miezi 6 ushajua tabia ya mwanamke umechelewa sana mwaka boss
,Upendo hauhesabu Mabaya
Kwanza kwanini umpige mwanamke?
Kuna watoto wakali huoni hata pa kupiga maana utaharibu uzuri.Kipigo kinaua hisia za kimapenzi kwa mwanaume hivyo kupelekea kuanza kuchepuka
Kipigo kinajenga uhasama ambacho huleta aina fulani ya kisasi moyoni
Kipigo kinavunja ndoa
Nikikosea kiasi hicho hata liwe fumanizi....niachwe tu
Unanipiga halafu tena nikupe na uchi na mauno nikupe kabisaaaa.....chaaaaa!!!
Tukiendelea kuwa pamoja ujue nimekusamehe mdomoni tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumia dudu na ndululu kumpiga la aziziWewe unapigaga Kwan?
Wanaume viazi mbatata wanatupiga hivyo hivyo na uzuri wetu hadi wanatupa ngeo na alama,Kuna watoto wakali huoni hata pa kupiga maana utaharibu uzuri.
Haha we huwez kupigwa mama, labda uolewe na mlevi
Kumbe unaugulia tu bado ila hujasepa kama ulivyojinadi! Hahahah i love u girl! Ila ni fedhuli gani anapiga mwanamke mpole huyo? Naweza hata kumtia nakoz mi sipendi mtu mkorofi anaoonea watu bila sababu!Naugulia maumivu ya kipigo mwaka wa 6 huu nimeshindwa kusamehe hilo kosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke hapigwi, anapigwa na pembe ya kanga. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unaugulia tu bado ila hujasepa kama ulivyojinadi! Hahahah i love u girl! Ila ni fedhuli gani anapiga mwanamke mpole huyo? Naweza hata kumtia nakoz mi sipendi mtu mkorofi anaoonea watu bila sababu!