Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,912
- 70,668
Sio kweliSababu kubwa wanawake wanapigwa ni naneno/mdomo,midomo inawaponza sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweliSababu kubwa wanawake wanapigwa ni naneno/mdomo,midomo inawaponza sana.
Bana we. Elewa mwanamke 90% ya kinachomponzaga apigwe ni kiburi na kauli za dharau za kuropokwa zile pale ambapo mnapishana kauli!inategemea, sio kwenye kupiga lkn
maana hata anaepiga huenda anaongea utumbo pia
Hahahah kizembe namna hio?Kuna dada alipigwa na mumewe akaenda kushitaki kwao. Wazee wake mwanamke walimsikilza wakampa pole tu na wakamwambia apumzike na baba mtu akasema ataenda mjini kumtafutia dawa mtoto wake huyo wa kike asipigwe tena na mumewe. Aliporudi akarudi na kajimkasi kadoogo cha kukatia mauwa kale akampa mtoto wake na kumwambia kesho rudi nyumbani kwa mume wako uuweke huu juu ya dressing munapoweka vipodozi vyenu. Mume wake yule mwanamke alipouliza hichi nini akamwbia kama kapewa na baba yake. Ikawa ndio mwisho wa kupigwa na mume wake.
N:B. Mwanamme akikupiga, msubiri alale usiku mtowe mapumbu!
Anavyopenda makuu hawezi kubali tupeleke watoto huko, ila itapofika wanaulizia baba yuko wapi pia si atakuwa na majibu ya kuwapa.hahaahha
ndio umeona unamkomooooa, ataenda elimu bure!
Tangu nazaliwa huu mwaka wangu wa 50 wa kuzaliwa, sijawahi kuona Mama yangu Mzazi anapigwa na Baba yangu Mzazi...
Tangu naolewa huu NI mwaka wangu wa ndoa Miaka 30 sijawahi KUMWONA MUME WANGU ananipiga labda kama ananipiga mechi (dyudyu)
Hivi kwani sikuhizi vijana wamekuwaje? Mbona vijana Mnapiga wake zenu shida Nene?
Nipo na dadangu hapa ananiambia sijui Mwimbaji Martha Mwaipaja ameachana na mumewe kisa Amepigwa
Na mumewe anajiita Nabii
Sa mbona watumishi wa Mungu mnatuchanganya lakini
Ila sio mbaya maana Yesu alisema siku ya mwisho kutakuwa na Manabii wa Uongo!
Alafu kuna kasheria kamepita kanasema mwanamke ukipigwa mumeo anafungwa so watoto wangu muwe na akili ya kukimbilia kwenye dola mkipigwa
Jamaani wadogozangu wanaume naombeni msipige wake zenu mkioa plz...
WANAUME ACHENI KUPIGA WAKE ZENU.
Binafsi huwa najiuliza mwanaume anaye piga mwanamke yuko Sawa kichwani kweli [emoji848], Mwanamke anaye pigwa huwa anakaa Sawa kama wanavyo taka wao au ni nidhamu ya uwoga.
Me nadhani kichwani kunakuwa na nati imepwaya Kwa mpigaji
Mwanamke hanabudi kupigwa ili akili yake ikae sawa ,nisikupige kwani mi babayako au we dada yangu .ukizingua lazima nikule kichwaKipigo kutoka kwa mwanaume ni moja ya kosa lisilo na msamaha wa dhati kutoka kwangu
Wasivyo na aibu anakupiga mchana usiku anaomba k.....maniner zao wanaopiga wake/wapenzi wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nasema hv, huwezi kuishi ndani ya ndoa kwa taratibu za kwenu jinsi wazazi wako walivyokulea kisa una miaka 32+.umeona nywele tu wewe?!
Unajifariji tu..Kuna dada alipigwa na mumewe akaenda kushitaki kwao. Wazee wake mwanamke walimsikilza wakampa pole tu na wakamwambia apumzike na baba mtu akasema ataenda mjini kumtafutia dawa mtoto wake huyo wa kike asipigwe tena na mumewe. Aliporudi akarudi na kajimkasi kadoogo cha kukatia mauwa kale akampa mtoto wake na kumwambia kesho rudi nyumbani kwa mume wako uuweke huu juu ya dressing munapoweka vipodozi vyenu. Mume wake yule mwanamke alipouliza hichi nini akamwbia kama kapewa na baba yake. Ikawa ndio mwisho wa kupigwa na mume wake.
N:B. Mwanamme akikupiga, msubiri alale usiku mtowe mapumbu!
Kabisa mkuu, kupiga inaweza isifundishe ila kwa nn upigwe?Bana we. Elewa mwanamke 90% ya kinachomponzaga apigwe ni kiburi na kauli za dharau za kuropokwa zile pale ambapo mnapishana kauli!
Ukiwa na breki za mdomo au mpole ukawa unapigwa still jua umeolewa na kichaa! Maana walevi tu ndio wanapigaga bila sababu!
Yes Boss
Marahaba Mwanangu
Hakuna Mzee hapa, sema ni single maza mwenye 30+!!!Huu Uzi naogopa kuchangia maana wewe ni Dada yake mama yangu kiumri.
Sema haki ya nani vile!!!Mwanamke hanabudi kupigwa ili akili yake ikae sawa ,nisikupige kwani mi babayako au we dada yangu .ukizingua lazima nikule kichwa
I dont entartain nonsense !
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani vijana wa siku hizi sijui wanakwama wapi...mke hapigwi atiiiTangu nazaliwa huu mwaka wangu wa 50 wa kuzaliwa, sijawahi kuona Mama yangu Mzazi anapigwa na Baba yangu Mzazi...
Tangu naolewa huu NI mwaka wangu wa ndoa Miaka 30 sijawahi KUMWONA MUME WANGU ananipiga labda kama ananipiga mechi (dyudyu)
Hivi kwani sikuhizi vijana wamekuwaje? Mbona vijana Mnapiga wake zenu shida Nene?
Nipo na dadangu hapa ananiambia sijui Mwimbaji Martha Mwaipaja ameachana na mumewe kisa Amepigwa
Na mumewe anajiita Nabii
Sa mbona watumishi wa Mungu mnatuchanganya lakini
Ila sio mbaya maana Yesu alisema siku ya mwisho kutakuwa na Manabii wa Uongo!
Alafu kuna kasheria kamepita kanasema mwanamke ukipigwa mumeo anafungwa so watoto wangu muwe na akili ya kukimbilia kwenye dola mkipigwa
Jamaani wadogozangu wanaume naombeni msipige wake zenu mkioa plz...
WANAUME ACHENI KUPIGA WAKE ZENU.
Sasa sababu nini ukiachana na tabia tuu ya mwanaume kupiga?
Si ndo hivyo inakuwa ni tabia yake.....ukiunguza msosi kibano, ukichelewa home kibanoSasa sababu nini ukiachana na tabia tuu ya mwanaume kupiga?
Hahaaa huyo ni bondia,hata John cena hapigi mpenzi wake.Si ndo hivyo inakuwa ni tabia yake.....ukiunguza msosi kibano, ukichelewa home kibano
Sent using Jamii Forums mobile app