Wanaume acheni kupiga wake zenu

Wanaume acheni kupiga wake zenu

Wanaume wengi wetu sio waongeaji, hasa kubishana na mwanamke wako. Sasa kuna wanawake wanaongea kama cherehani, hata ujishushe vipi bado atataka tu akudhalilishe. Sasa kitendo cha kumkumbusha kwa makofi huwa kinatokea ghafla tu, (reflex). Unajikita ushamfunika uso na viganja
MMMH
 
hilo pumbu ukilishika afu ukakosea kulishika vema....basi ujue ushakufa....maana hasira zake huyo mwanaume zitakuwa bora za mbogo....trust me eneo unalidhamiria kushika maumivu yake ni sawa na kuingiza mkono mdomoni utake kutoa moyo wa jamaa...
Baba tina weee!
 
Wengi wanaowakun'guta wake zao hawapendi. Hukute, wameonya imeshindikana. Wamejaribu kuwa wapole dhidi yao wanapandwa kichwani. Sasa mwanaume gani atakubali apandwe kichwani?...nyakati nyingine mwanamke hupigwa ili mwanaume ajilindie heshima yake. Utakuta mwanamke anapigwa daily lakini harudi kwao kwa kuwa anafahamu yeye ndo mwenye kosa, ila hapendi kujirekebisha. Ofcoarse, kumpiga mwanamke si jambo jema, ni bora muachane pasipo ugomvi. Tatizo linalowakumba wanawake wengi ni kutowatambua vyema waume zao. Kuwajibu kwa maudhi, na kejeli pia ni tatizo. Ila mwanaume ukimpiga mkeo kisa kakuambia uache ulevi kisa hufanyi maendeleo yoyote kwao wewe utakuwa mjinga tu.
WORD!
MARIJALI KAMA HAWA NDIO NAWAPENDAGA
SIO WALE VIBA100 WANAJUA KUTAFUTIA WANAWAKE SABABU ZA KUWAPIGA!
 
Back
Top Bottom