Wanaume acheni kupiga wake zenu

Hakuna kitu nachukia kama kupigwa na hasira nilizo nazo tunaweza kuuwana.
Kipigo kinaua hisia za kimapenzi kwa mwanaume hivyo kupelekea kuanza kuchepuka

Kipigo kinajenga uhasama ambacho huleta aina fulani ya kisasi moyoni

Kipigo kinavunja ndoa

Nikikosea kiasi hicho hata liwe fumanizi....niachwe tu

Unanipiga halafu tena nikupe na uchi na mauno nikupe kabisaaaa.....chaaaaa!!!

Tukiendelea kuwa pamoja ujue nimekusamehe mdomoni tuSent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom