Wanaume acheni kupiga wake zenu

Wanaume acheni kupiga wake zenu

Kwenye app hamna emoji

Kwaaah kwaaa kwaaah nimekupigia makofi mazito

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi huwa natoaga tahadhari kabisa kabla hatujaingia kwenye mahusiano kipigo hasira zake siwezi kuzuia wala kuvumilia kama nimekosea niambie ni mwepesi kuomba msamaha na kujirekebisha ila kuwa mondia kwenye mwili wangu aisee tutazinguana mbaya.
 
Kama mwepesi kuomba msamaha na kujirekebisha kupigwa utabaki kupasikia ESPN na WWE tu! Huwa tunapiga yale majanamke majuaji ambayo hayaoni makosa yao na mabingwa wa kupayuka!
 
Labla unipige mahusiano yaishe hapo la sivyo akisubutu kuniomba msamaha nitamsamehe kinafiki ila maji ya moto yatazungumza kwenye mwili wake.
Hahah na uombee hayo maji yaniue tu. Nikipona ujue kaburi ni halali yako! Maana mwanamke kuwa na kisasi haipendezi hata mbele ya lucifer! Nikipona ujue umeondoka wewe na nchi nzima itajua kwamba i dont give a flying fuckk kuishia jela.
 
Adabu na hekim ndio ishu zaidi, ukivikosa hivyo hutachukua round utakula umeme tu!
Hicho kibesi pelekea hao wengine

We ujue sipendi kupigwa tu fullstop.

kwahiyo nakuombea umpate asiependa kipigo km mimi...siku moja umpige ndo utajua Eva alipata wapi ujasiri wa kula tunda na bwana yule anaetambaa mavumbini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom