Wanaume acheni kupiga wake zenu

Wanaume acheni kupiga wake zenu

Dah samehe tu mama sasa utahold kitu hiko hadi lini? Kumbuka nawewe unalilia msamaha wa mungu kila jumapili! How can God forgive you in that manner?
Kesho fanya kunikumbuka kwenye maombi

Ila usije mpiga mwanamke uliye na mahusiano nae kimapenzi.....ukipata mtata anakuharibia mtaishi kwa visasi zipo adhabu nyingi tu mwenzi wako anayoweza kukuadhibu na kuharibu kabisa maisha yako

Umeshindwa ni mara bilioni ukamuacha lkn sio kupiga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho fanya kunikumbuka kwenye maombi

Ila usije mpiga mwanamke uliye na mahusiano nae kimapenzi.....ukipata mtata anakuharibia mtaishi kwa visasi zipo adhabu nyingi tu mwenzi wako anayoweza kukuadhibu na kuharibu kabisa maisha yako

Umeshindwa ni mara bilioni ukamuacha lkn sio kupiga

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen. Ntakukumbuka hakika! Kumpiga mwanamke naempenda nishawahi na atlast alikuwa anafahamu nini kinachonifanya nimbutue. So tunasawazisha tu mambo yanaenda!
 
Haya jipe moyo kuwa mmesawazisha hata huyo aliyenibutua anajua hivyo hivyo 'tumesawazisha'

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke nilie nae haweki vitu moyoni. Nilishamsoma mapema sana. Pia mie mwanamke wa visasi simtaki na wala sitawezana nae! Nikishakuona mtu wa kuweka mambo moyoni mara 1-2-3 nakutema
 
Tangu nazaliwa huu mwaka wangu wa 50 wa kuzaliwa, sijawahi kuona Mama yangu Mzazi anapigwa na Baba yangu Mzazi...

Tangu naolewa huu NI mwaka wangu wa ndoa Miaka 30 sijawahi KUMWONA MUME WANGU ananipiga labda kama ananipiga mechi (dyudyu)

Hivi kwani sikuhizi vijana wamekuwaje? Mbona vijana Mnapiga wake zenu shida Nene?

Nipo na dadangu hapa ananiambia sijui Mwimbaji Martha Mwaipaja ameachana na mumewe kisa Amepigwa

Na mumewe anajiita Nabii

Sa mbona watumishi wa Mungu mnatuchanganya lakini

Ila sio mbaya maana Yesu alisema siku ya mwisho kutakuwa na Manabii wa Uongo!

Alafu kuna kasheria kamepita kanasema mwanamke ukipigwa mumeo anafungwa so watoto wangu muwe na akili ya kukimbilia kwenye dola mkipigwa

Jamaani wadogozangu wanaume naombeni msipige wake zenu mkioa plz...

WANAUME ACHENI KUPIGA WAKE ZENU.

Tatizo wanawake mna midomo sana. Silaha ya mwanamke ni mdomo ila silaha ya mwanaume ni mikono yake.

Sasa mwanaume, eventually, utamzidi maneno tu. Hilo linapotokea kofi mbili tatu zaweza kukuhusu bila matarajio.

Sent using Boeing 737-MAX 8
 
Kizazi icho cha kupga wanawake kinapita kwa kasi ya4G! Miaka michache ijayo itKua Kama states, europe
 
Mimi ni moja ya watu niliyeapa kuwa sitokuja kumpiga mwanamke katika maisha yangu, lakini imetokea kuwa nimempiga sikufurahishwa na tukio hilo lakini yeye alikuwa chanzo na kunitengenezea mazingira ya kunipa hasira mpaka nikafikia hatua ya kumpiga makofi.
Nikiri wazi kuwa di vyema kumpiga mwanamke lakini maranyingi matukio haya hutokea chanzo huwa ni mwanamke mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye shida NI wewe
Unataka kumbadilisha mtu mwenye meno 32 hautaweza
Ungemuoa Akiwa na Miaka 18 ndio mngedumu
Samaki mkunje angali mbichi son
Ishu sio kumbadilisha ila kumshitua na kuwekana sawa.
Ndoa au mke sio nywele bandia ()
 
Back
Top Bottom