Hili la kupiga wanawake haliepukiki. Wanawake wa kizazi hiki cha sayansi na teknolojia sio wanawake wa zama za mama yako mzazi au wewe maana kama upo ktk ndoa na mumeo miaka thelathi tukiongeza na ya ukuaji na elimu haipungui 50.
Hakuna mwanaume anaipanga kumpiga mwanamke mtu anaempenda hata kukata shauri la kuishi nae, wanawake wa leo hawashikiki, hawaambiliki, wapanda vichwani, wasio waaminifu, wababe, watu wa haki sawa n.k.
Wazee wetu walichaguliwa wake wa kuoa na ndoa zilidumu ila sisi wachagua mafundi kitandani ndoa hazidumu huo kuna mabadiliko toka kizazi cha nyuma kuja hichi cha JK na jiwe?
Sent using
Jamii Forums mobile app