Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
- #61
Kweli kabisaMwanaume anaempiga mkewe ukimkuta anavyodharaulika huko kibaruani kwake!
Naona huwa wanamalizia stress kwa wake zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisaMwanaume anaempiga mkewe ukimkuta anavyodharaulika huko kibaruani kwake!
Naona huwa wanamalizia stress kwa wake zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unapigaga Kwan?
Hahaahah kweliutajitetea sana, hakuna kanuni ya kumpiga mwanamke katika maisha....kukosa kujiamini......mmeshindwana achana nae......piga mwanao
Mmmh we utakuwa mkurya ulieshindikana kama sio mmasaiMi kademu kangu ni kakorofi mnoo.. huwa kanaidhibiti michepuko yangu kwa kipigo hata wale kanaowahisi kuwa nachepuka nao huwa kanawafanyia fujo..Sasa juzi kamejichanganya anga zangu kakataka kunipasulia simu.. nilikawasha kibao cha usoni kabla akajaamini kilichokea nikakaongeza kingine nikamalizia na teke kisha mtama akabimiza kisogo kwenye kitanda akalia eti nimemtoa kizazi.. saivi ananiheshimu mnooooo
Kabisa
Una risiti kuonyesha kuwa nagawa k Kwa mdogowake?Lakini Kwa bahati mbaya anagawa k yake kwa mdogo wako! Hivyo 50 ni herufi anafaa kuwa mdogo wako. Tiririka tu
Miaka 19 ndio niliolewa
DohKwanza kwa aina ya kazi ninazozifanya nikimpiga mwanamke anakufa. Ila pamoja na uzee huu kipigo cha ub00 kiko palepale
Hana sababu ya kunipigaProblem ni kuwa hujatuambia ni kwa nini miaka yote hiyo hujawahi kupigwa na mumeo hata siku moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
DohKiukweli kumpiga mtu siyo vizuri kabisa. Lakini sikubaliani na msemo wa " there is no reason to hit a woman" . kiukweli there are million reasons to hit a woman, we (gentlemen) just don't it out of compassion and love.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahHuwa najiuliza style ya Ke kutokupigwa mbona ndiyo imezaa matokeo mabovu sana kudumisha ndoa ktk karne hii kuliko enzi za Babu na Bibi zetu???[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Good Boy
HeheheehWatabzania karibia wote wanajua wanaume wa kikurya ndiyo wanapiga wake zao Naona sikuiz wanaume wa makabila yote wanapiga wake zao Tatizo sijui liko wap
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kuwa na dozen of ID's JF
Mmmhwakizingua na wapigwe kwa maana hakuna namna
Akinifumania bila uthibitiso atapigwa
Miaka 5 kumjua mwanamke basi we mwanaume utakuwa tahiraWako wanaume wengi udhani wameoa mke kumbe wameoa shetani. Mwanamke anakuwa na mdomo na ujuaji hataki kukaa sehemu yake kama mke na anataka kumtawala Mme. Nashauri vijana wanaooa siku hizi bora mkae mpenzi wako angalau miaka 5 ndo mfunge ndoa vinginevyo wanawake wa siku hizi ukikutana na haya mashetani utajuta au utafungwa au utaua. Unakuta mmeishazaa na watoto ukiwaangalia bado wanahitaji malezi yenu wakati limwanamke aliambiliki ndo maana wanaume unaamua ulitwange kisago cha maana akili ikae sawa. Maana ukisema ulifukuze yanakuja masheria ya kugawana mali wakati Mali hiyo jasho na nguvu za kuipata ni mwanaume. Mzee! Nakwambia ni shiidaaaaah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sanaTuliopo single , ngoja tusome comments.
Amen Brother Amenunanzaje kumpiga mwenzi wako iwe ke/me....how....tuko tofauti sana.....mmoja kati yenu atakaeinua mkono....elewa ndoa ndio imekufa hapo........mwanamke anapigwa na u****ooo...
Kweli kabisapiga mwanao....mkeo mmekutana ukubwani kila mmoja na mitabia yake....unafikiria ndo utamrekebisha...piga ngoma sio mwanamke braza....