Wanaume acheni kupiga wake zenu

Wanaume acheni kupiga wake zenu

Mimi ni moja ya watu niliyeapa kuwa sitokuja kumpiga mwanamke katika maisha yangu, lakini imetokea kuwa nimempiga sikufurahishwa na tukio hilo lakini yeye alikuwa chanzo na kunitengenezea mazingira ya kunipa hasira mpaka nikafikia hatua ya kumpiga makofi.
Nikiri wazi kuwa di vyema kumpiga mwanamke lakini maranyingi matukio haya hutokea chanzo huwa ni mwanamke mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
doh pole mno
usirudie tena
 
Tatizo wanawake mna midomo sana. Silaha ya mwanamke ni mdomo ila silaha ya mwanaume ni mikono yake.

Sasa mwanaume, eventually, utamzidi maneno tu. Hilo linapotokea kofi mbili tatu zaweza kukuhusu bila matarajio.

Sent using Boeing 737-MAX 8
doh Mungu anakuooona!
Mungu alikupa mikono utalime ardhi na kumlinda mke na watoto wako vita ikija sio kupiga mwanamke
 
BABA yako amekula limbwataaa, naona na mama yako akakupatia kijan a wa watu hasemi neno kwako, Kama sio limbwata basi wafundishe hao wanawake rafiki zako namna ya kuishi na mme kwa adabu heshima na kutii ( be submissive as the holly books say)

KABLA Ya kusema kuhusu kuigwa muulize huyo rafiki yako kapigwa kwa kisa gani, SUALA LINGEKUWA BADALA YA KUWAAMBIA WANAUME WAACHE KUPIGA Ungewaaambia wanawake waaache ushenzi kwenye ndoa.

Look at it from at from another angle
rafiki yupi?
we unakurupuka tu maskini nakuhurumia na poor mindset yako!
ushazioea kuwekewa na kuweka limbwata ndio maana akili kichwani huna
 
Ndio nasema hv, huwezi kuishi ndani ya ndoa kwa taratibu za kwenu jinsi wazazi wako walivyokulea kisa una miaka 32+.
Kumuelewa mwenzio anapenda nini na hapendi nini?.. Wewe pia... Sio umri wako uwe kinga ya kutoelekezana..(never)
Mfano: sitaki urudi home usiku lakn wewe unakaidi kisa nimekukuta umeota nywele siwezi kukupangia... Kweli? Hii ndoa au disco vumbi?
mmmh!
kaoe kijijini waache waliozaliwa mjini nao waishi maisha yao ya mjini!
sio kosa lao kuzaliwa na kuishi mjini!
 
Hapa nasema inategemea sana na tabia zenu wawili, binafsi mke akiwa na heshima, staha, mwenye maneno ya busara, anajua nini cha kuongea na wakati gani...hata akikosea kidogo I wouldn't even think coz hata mimi namkosea.

Ila wale wenye zile tabia..aaaah. Lazima kuna siku tu, lazima!! Thank goodness nina mtu anajielewa sana!!
hongera
 
Acha kutufundisha uwoga wewe.Wakuu vibao viwili vitatu hurudisha heshima iliyo pote ndani ya nyumba.Yaani humrudisha mke kwenye mstari.

Mwanamke akileta madharau hakuandalii maji ya kuoga,hapiki kwa muda unaotakiwa,ukimwambia jambo hatekelezi,anarudi nyumbani muda anaotaka,akitoka nyumbani haagi,kazini anatoka saa tisa nyumbani anarudi usiku,anaongea kejeli mbele ya watoto chapa vibao yaani tandika vibao.Ukimwacha wote mnakuwa wanawake hapo ndani na ndio chanzo cha kukupanda kichwani.
Tumeambiwa tuishi nao kwa akili,moja kati ya hizo akili ni vibao.Chapa vibao ambavyo havitaharibu nyara za serikali usiende kuishia lupango.
maskini atakaeolewa na wewe namhurumia mara 100 labda Yesu arudi kabla haujamuoa!
 
mmmh!
kaoe kijijini waache waliozaliwa mjini nao waishi maisha yao ya mjini!
sio kosa lao kuzaliwa na kuishi mjini!
Pole sana.. nyie wa mjini ndio adabu ndogo na kisebengo kama chote.
Mbona mnadundwa na hao wa mjini wenzenu.. Kuna nn?
 
Pole sana.. nyie wa mjini ndio adabu ndogo na kisebengo kama chote.
Mbona mnadundwa na hao wa mjini wenzenu.. Kuna nn?
ME NIMEZALIWA UPANGA NA SIJAWAHI KUPIGWA NA MUME, MWAKA WA 30 WA NDOA SASA!
WAULIZE WENGINE WANAOPIGWA ME SIPIGWAGWI!, JIBU LANGU NDIO HILO!
 
Back
Top Bottom