ArchAngel
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 4,513
- 3,764
Jibu kama hili ushakula kofi moja la moto sana.wanaume wengi hawajielewi!
Sent using Boeing 737-MAX 8
Jibu kama hili ushakula kofi moja la moto sana.wanaume wengi hawajielewi!
Makofi ni size yao...hutaki rudi kwenu.Hili jambo huwa hawalielewi. Wanapenda kuleta "lifestyle" walizotoka nazo kwa wazazi ndani ya ndoa!
Sent using Boeing 737-MAX 8
Kofi zito sana .. hadi mkorogo upoteze show usoni.Jibu kama hili ushakula kofi moja la moto sana.
Sent using Boeing 737-MAX 8
rafiki yupi?
we unakurupuka tu maskini nakuhurumia na poor mindset yako!
ushazioea kuwekewa na kuweka limbwata ndio maana akili kichwani huna
Ujue kuwa mwanamke akianza kukucheat anakuwa ameshakudharau hata ukimuuliza kitu anaweza akakujibu hovyo. Msidhani kuwa wanaume tunarukia na kupiga tu bila kuelewa.Inategemea umemuulizaje ulipomfuma
Ungemwuliza mpenzi huyu nani tena anataka kututenganisha wakati Dini imesema NI kifo tuvkisitutenganishe
Ungeona anacheka anakujibu vizuri
Tatizo unaleta uafande na udikteta kwenye penzi unategemea nini?
Mwanamke hapigwi wala hafokewi
Facthakunaga mwanamke asiejielewa!
me nadhani shida ipo kwa wanaume!
HahahahaSAWA PUMBU
ME NIMEZALIWA UPANGA NA SIJAWAHI KUPIGWA NA MUME, MWAKA WA 30 WA NDOA SASA!
WAULIZE WENGINE WANAOPIGWA ME SIPIGWAGWI!, JIBU LANGU NDIO HILO!
Kama unajiamini wewe mwanaume kweli umetimia nipige😂😂😂Mfano katika kuongea na mwenzako ikatokea akakujibu kwa jibu la dharau,katika wanaume na wewe unaweza kujiita mwanaume?Kama we ni me utachukua hatua gani?
Huyo ana wivu asilimia kubwa wanaume wenye wivu wa kishamba ni wapigajiSi ndo hivyo inakuwa ni tabia yake.....ukiunguza msosi kibano, ukichelewa home kibano
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo pumbu ukilishika afu ukakosea kulishika vema....basi ujue ushakufa....maana hasira zake huyo mwanaume zitakuwa bora za mbogo....trust me eneo unalidhamiria kushika maumivu yake ni sawa na kuingiza mkono mdomoni utake kutoa moyo wa jamaa...Kuna dada alipigwa na mumewe akaenda kushitaki kwao. Wazee wake mwanamke walimsikilza wakampa pole tu na wakamwambia apumzike na baba mtu akasema ataenda mjini kumtafutia dawa mtoto wake huyo wa kike asipigwe tena na mumewe. Aliporudi akarudi na kajimkasi kadoogo cha kukatia mauwa kale akampa mtoto wake na kumwambia kesho rudi nyumbani kwa mume wako uuweke huu juu ya dressing munapoweka vipodozi vyenu. Mume wake yule mwanamke alipouliza hichi nini akamwbia kama kapewa na baba yake. Ikawa ndio mwisho wa kupigwa na mume wake.
N:B. Mwanamme akikupiga, msubiri alale usiku mtowe mapumbu!
Ha ha ha ha hapo hakutakuwa na uzalendoKama unajiamini wewe mwanaume kweli umetimia nipige😂😂😂
Utaniacha???
Wengi wao ni wanyonge hivyo kupiga anaona km inamuongezea ujasiriHuyo ana wivu asilimia kubwa wanaume wenye wivu wa kishamba ni wapigaji
MPIGE SA HIVI UONEdah hiyo sheria ya kumpiga mke unafungwa hahhaha tungekua tumfungwa zamani sanaa
SIJAWAHI KUPIGWA KAKAHayo ni majukumu yetu. Ila ukiwa na mdomo provocative lazma uguswe kidogo urudi kwenye mstari.
Utakubaliana nami kuwa unapokutana na kofi lisilojulikana hata wewe mwenyewe lazima utakaa ujiulize imekuaje kuaje na mwishowe hekima inatumika badala ya hisia.
Sent using Boeing 737-MAX 8