Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
- #201
hakunaga mwanamke asiejielewa!Wewe uko sawa ila unawatetea vichwa maji... Utawakosti wenzio
me nadhani shida ipo kwa wanaume!
hakunaga mwanamke asiejielewa!Wewe uko sawa ila unawatetea vichwa maji... Utawakosti wenzio
Una maana wanaume ndio hatujielewi?... ebo matusi haya mamahakunaga mwanamke asiejielewa!
me nadhani shida ipo kwa wanaume!
wanaume wengi hawajielewi!Una maana wanaume ndio hatujielewi?... ebo matusi haya mama
Mfano katika kuongea na mwenzako ikatokea akakujibu kwa jibu la dharau,katika wanaume na wewe unaweza kujiita mwanaume?Kama we ni me utachukua hatua gani?KUTOFAUTIANA SIO KUPIGANA
Wanawake nao wajiangalie majibu wanaotujibu hayafai, mfano unambamba na text za jamaa kamtumia za mapenzi ukihoji unajibiwa hovyo, au anaenda maeneo ambayo huyafahamu na hakuagi na akirudi ukimuuliza anakaa kimya huo ububu lazima kichapo kitembee.Tangu nazaliwa huu mwaka wangu wa 50 wa kuzaliwa, sijawahi kuona Mama yangu Mzazi anapigwa na Baba yangu Mzazi...
Tangu naolewa huu NI mwaka wangu wa ndoa Miaka 30 sijawahi KUMWONA MUME WANGU ananipiga labda kama ananipiga mechi (dyudyu)
Hivi kwani sikuhizi vijana wamekuwaje? Mbona vijana Mnapiga wake zenu shida Nene?
Nipo na dadangu hapa ananiambia sijui Mwimbaji Martha Mwaipaja ameachana na mumewe kisa Amepigwa
Na mumewe anajiita Nabii
Sa mbona watumishi wa Mungu mnatuchanganya lakini
Ila sio mbaya maana Yesu alisema siku ya mwisho kutakuwa na Manabii wa Uongo!
Alafu kuna kasheria kamepita kanasema mwanamke ukipigwa mumeo anafungwa so watoto wangu muwe na akili ya kukimbilia kwenye dola mkipigwa
Jamaani wadogozangu wanaume naombeni msipige wake zenu mkioa plz...
WANAUME ACHENI KUPIGA WAKE ZENU.
Kiburimmmh sababu ipi isioongeleka?
Inategemea umemuulizaje ulipomfumaWanawake nao wajiangalie majibu wanaotujibu hayafai, mfano unambamba na text za jamaa kamtumia za mapenzi ukihoji unajibiwa hovyo, au anaenda maeneo ambayo huyafahamu na hakuagi na akirudi ukimuuliza anakaa kimya huo ububu lazima kichapo kitembee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkwe
ha ha ha haNamkumbatia alafu namchumu
Demu analegea balaa na msamaha anakuomba
Jaribu utaniambia
Cc: Honey 50thebe
HahaahhaSawa mkwe
Umejifunza sasa ee?ha ha ha ha
Inategemea,kwa mfano akisema hata hawa watoto sio wa kwako,hapo utafanyaje?Umejifunza sasa ee?
Hayo ni majukumu yetu. Ila ukiwa na mdomo provocative lazma uguswe kidogo urudi kwenye mstari.doh Mungu anakuooona!
Mungu alikupa mikono utalime ardhi na kumlinda mke na watoto wako vita ikija sio kupiga mwanamke
Naunga mkono hoja. I also NEVER entertain nonsense!Mwanamke hanabudi kupigwa ili akili yake ikae sawa ,nisikupige kwani mi babayako au we dada yangu .ukizingua lazima nikule kichwa
I dont entartain nonsense !
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jambo huwa hawalielewi. Wanapenda kuleta "lifestyle" walizotoka nazo kwa wazazi ndani ya ndoa!Ndio nasema hv, huwezi kuishi ndani ya ndoa kwa taratibu za kwenu jinsi wazazi wako walivyokulea kisa una miaka 32+.
Kumuelewa mwenzio anapenda nini na hapendi nini?.. Wewe pia... Sio umri wako uwe kinga ya kutoelekezana..(never)
Mfano: sitaki urudi home usiku lakn wewe unakaidi kisa nimekukuta umeota nywele siwezi kukupangia... Kweli? Hii ndoa au disco vumbi?
Maneno kama haya ndio hukaribisha makofihakunaga mwanamke asiejielewa!
me nadhani shida ipo kwa wanaume!