Good ideaWanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.
Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi yetu ipitishwe bungeni.
Sasa tunasikia rais kasaini mkataba wa Ushirikiano na waarabu wa UAE kuhusu misitu yetu. Mkataba haujapitishwa bungeni na sisi wananchi hatujui humo ndani kuna nini!.
Ipo haja mahakama iiagize serikali itii sheria.
Pengine ndiyo maana Samia badala ya kupeleka mikataba hiyo bungeni yeye anakimbilia kubadili sheria ili kuhalalisha uvunjaji wake wa sheria.
Hii maana yake ni kwamba anajua fika wakati anasaini mikataba hiyo, alikuwa anavunja sheria lakini akaamua tu kusaini kwa kuwa anajua atazibsdili sheria zinazombana kumfavor yeye.
Na si mkataba wa misitu tu, tunasilia kuwa kasaini mikataba mingine 37 ambayo hatujui ndani kuna nini.
Ipo haja mahakama imlazimishe mikataba inayopaswa kufikishwa bungeni ifike bungeni!.
Huu mkataba pia ungechekiwaHawawezi kufungua kesi mpaka waione mikataba husika ilo kuweza ku establish kesi yenye mantiki
Hii umeiweka vizuri, Samia ni kama ameenda kututoa zawadi kwa wajomba zake.Fikiria mtu anapewa Urais, kituo chake cha kwanza anaenda kwa mjomba wake aliyepo Oman, mjombake anampeleka kwa kiongozi wa Oman. Ni sawa na mtu anayeebda kusema kuwa, mjomba, wamenipa nchi kule, naye mjomba anamwambia kuwa twende tukamjulishe kiongozi wetu.
Kitafsiri na kimantiki, Oman, wanaona wamepewa koloni kupitia uongozi wa mtoto wao.
Mchungaji wa kweli kuwajua kondoo wake, na kondoo huijua sauti ya mchungaji wao.Our President:
1) Represents the best interests of all of the people.
2) Represents our nation in talking with foreign nations for the best of our beloved Tanzania.
#Miluzi Mingi Humpoteza Mchungaji
#SiempreJMT
#Mama Anaupiga Mwingi
Unachokisema kipo kwa mujibu wa sheria ya ulinzi wa rasimali ya mwaka 2017 kifungu cha 12 japo kinahusu rasimali za nchi ila Serikali haijatimiza takwa la kisheria ila ndio hipo mbion kwenda kubadilisha hicho kifungu ili mikataba yote ikaishie kwenye Baraza la Mawaziri.Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.
Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi yetu ipitishwe bungeni.
Sasa tunasikia rais kasaini mkataba wa Ushirikiano na waarabu wa UAE kuhusu misitu yetu. Mkataba haujapitishwa bungeni na sisi wananchi hatujui humo ndani kuna nini!.
Ipo haja mahakama iiagize serikali itii sheria.
Pengine ndiyo maana Samia badala ya kupeleka mikataba hiyo bungeni yeye anakimbilia kubadili sheria ili kuhalalisha uvunjaji wake wa sheria.
Hii maana yake ni kwamba anajua fika wakati anasaini mikataba hiyo, alikuwa anavunja sheria lakini akaamua tu kusaini kwa kuwa anajua atazibsdili sheria zinazombana kumfavor yeye.
Na si mkataba wa misitu tu, tunasilia kuwa kasaini mikataba mingine 37 ambayo hatujui ndani kuna nini.
Ipo haja mahakama imlazimishe mikataba inayopaswa kufikishwa bungeni ifike bungeni!.
Ni kweli kabisa ulichokiongea.Wabunge wa kupelekewa hiyo mikataba ndo akina Ndiyoooooo? Kifupi hakuna hoja itapita ndani ya bunge iliyoasisiwa na ccm isiungwe mkono. Wataunga mkono hoja.
Wale wanawaza hela tu
Lengo ni kuanika zaidi uchafu woteBunge ndiyo litafanya nini?
Too late, Tanzania ni mali ya Ccm.Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.
Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi yetu ipitishwe bungeni.
Sasa tunasikia rais kasaini mkataba wa Ushirikiano na waarabu wa UAE kuhusu misitu yetu. Mkataba haujapitishwa bungeni na sisi wananchi hatujui humo ndani kuna nini!.
Ipo haja mahakama iiagize serikali itii sheria.
Pengine ndiyo maana Samia badala ya kupeleka mikataba hiyo bungeni yeye anakimbilia kubadili sheria ili kuhalalisha uvunjaji wake wa sheria.
Hii maana yake ni kwamba anajua fika wakati anasaini mikataba hiyo, alikuwa anavunja sheria lakini akaamua tu kusaini kwa kuwa anajua atazibsdili sheria zinazombana kumfavor yeye.
Na si mkataba wa misitu tu, tunasilia kuwa kasaini mikataba mingine 37 ambayo hatujui ndani kuna nini.
Ipo haja mahakama imlazimishe mikataba inayopaswa kufikishwa bungeni ifike bungeni!.
Mama Amependeza sanaUko sahihi kabisa mleta mada!
Huyu mama kuna kitu mahala hakikwenda sawa....
Haiwezekani kiongozi unakurupuka bila tafakuri wala majadiliano na hata kuomba ushauri.
Kisa tu sura yako imepambwa Dubai.
Nadhani kuna uwezekano kuwa kawekewa fungu kubwa sana kwenye akaunti yake huko Dubai.
Wanawake huwa ni wanyonge sana pale linapokuja suala la pesa mbele yao!
Tufike mahali watanzania tuache uoga tutoke na kusema "No" kwa hili jambo. View attachment 2729912View attachment 2729913View attachment 2729915
Nchi hii haijawahi kuwa na Rais hatari kwa mustakali wa nchi yetu kama huyu mama ; kwasababu anafanya mambo yote yanayohusu nchi kwa kificho ! She is not transparent !! Hivi sasa hata safari zake za nje anafanya kisirisiri haza za kwenda Oman kwa wajomba zake ambako anatayarisha makao yake muda wake ukifika!!Hatari sana. Baada ya huyu Mama Abdul kuondoka madarakani nchi itakua utumwani completely, kuna haja ya kuanza kuifuatilia kwa ukaribu mikataba yote ambayo ameisainia huko MAFICHONI
It was very wrong kuipeleka ile IGA Bungeni!.Vipi umeamka vibaya nini? Unasema MoU hazipelekwe Bungeni kwa sababu ni makubaliano na siyo mikataba. Unasema kuwa IGA siyo mkataba ni makubaliano. Kwa hiyo IGA ilipelekwaji Bungeni wakati ni makubaliano, na makubaliano huwa hayapelekwi bungeni?
Duh...!.Kuulinda uwongo ni kazi ngumu sana, ndiyo maana Serikali imeshindwa, na wewe pia umeshindwa kabisa.
TumekusikiaWote tunaoipenda nchi yetu TUSEME NO KWA MKATABA WA KISHENZI WA DP NA VIONGOZI DHULUMATI WANAOUZA RASILIMALI ZA NCHI YETU KWA MANUFAA YAO BINAFSI.