Wanasheria na Wataalamu wa Miliki (mali) Njooni mnipe ushauri Kuhusu hii Kampuni yangu na Warithi wangu.

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
7,577
Reaction score
17,718
INTRODUCTION:-
Salam sanaaa?

HUU NI UKWELI WA MAISHA YANGU, KUHUSU MAHUSIANO NA MALI.

Naitwa Mr. Liverpool ni kijana wa kiume mwenye Diploma, Degree, Masters, na PhD Candidate dropout (Nilipata Scholarship ila biashara ikanipenda zaidi kuliko shule..!!)

Ni mtumishi wa umma mwenye miaka 35 (1990) niliye ajiriwa 2012.

SCENARIO:-
Mimi ni mwanaume niliyegoma kuoa ambaye sitokaa nioe ila pia nina watoto wa 5.
1. First born ni Ke mwenye miaka 12 (2013), Anaishi Dar es salaam.

2. Second na Third born ni Boys (twins) wanamiaka 8 (2017), Wanaishi Morogoro.

3. Third na Fourth Born ni Twins (Kulwa - Boy na Doto - Girl).
Wanamiaka 5 (2020) - Wanaishi Dar es Salaam.

Nina mahusiano mazuri na ya afya kwa mama zao, maana kila mara husafiri kwenda kuwaona na likizo zotee ndefu (June na December) huja kwangu wote na nakua nao, Hivyo WANAJUANA.

Na mama zao muda mwengine husaidiana ile kisela..!!
Financial na mambo kama hayo, Ila NO SEX RELATIONSHIP KABISAA.

Mama wa fisrt born kaolewa(ga) zamani na ana maisha yake na watoto wake wengine.

Hawa wengine wana twins wangu tu na hawakuolewa ila wanamaisha yao (ajira, mali, E.t.c) na ni vijana hivyo posibility ya kuolewa au kuzaa tena huko waliko ipo.

Mara nyingi hawa wanawake wote mimi ndio huwa mshauri wao sanaa kwenye utafutaji wao na mali.
KWANINI HIVYO?

THE PROBLEM.
Mimi kama nilivyojitambulisha ni mtumishi wa umma.
Mwaka fulani Nilipataga post nzuri sanaa ya kuhamia Taasisi, ila Mkurugenzi wangu aligoma kuniruhusu kuhama.

Ile kubaniwa kuhama kulinifanya niwe na hasira na nikatumia zile hasira kuanzisha biashara.

Biashara ilienda poa mpaka nikabadilisha mfumo wa uendeshaji kuwa kampuni.

Kampuni yangu namshukuru Mungu inaenda poa ikiwa inafanya biashara (product) aina 4.

Sales ziko poa na Kampuni inakua japo ndio sio vile, ule ukuaji ambao nautaka siupati (nahisi sababu ya kuwa binadamu haturidhiki).

Watoto wangu huja huku likizo kila mwaka na kila mmoja ana hobby yake.

1. First born hupenda kushinda kwenye dawati la hela na kushangaa wateja wanavyoingia na kutoka.

2. Second na Third na Forth born kama nilivyosema ni boys, hawa hupenda kushinda kwenye CCTV yaani wao ni kukodolea screen na kubishana kuhusu screen kinachoonyesha.

3. Kuna huyu sasa last born, mwanamke huyu bwana yeye hana story na biashara.
Ye ni kucheza tu.
Akitoka kucheza kaingia store kachukua soda na kusepa tena mtaani.

THE BIG PROBLEM.
Sasa baada ya kuona hawa wanawake wako vizuri kwangu (good friendship na baba wa watoto wao), Na watoto wanajua ila kuna tatizo.

Wamama hawajuani na hawataki kujuana na sijawahi kufikiria kuwakutanisha au kufanya chochoteee wajuane.

Yaani hilo linaniwazisha sanaaa, JE NIKIFA ITAKUAJE?

Sasa nilichooamua, pia hapa ndio NAPOOMBA USHAURI.

1. Biashara zote na mali zote za biashara nimekabidhi kampuni.

MALI BINAFSI.
Ukiachana na mambo ya kampuni pia nina mali binfasi ambayo ni Gari na sasa nataka kujenga nyumba ya ndoto yangu.

JE NI SAHIHI KWA MALI ZANGU KUKABIDHI KWA KAMPUNI?

Nawaza hili ili baadae kusitokee na mgororo wa mali kati ya hawa watoto.

Yaani wazo langu....
1. Kila kitu nachomiliki niipe kampuni
2. Kila kitu nitakachomiliki baadae nitaipa kampuni, kama hii nyumba ya ndoto yangu ambayo ujenzi utaanza soon.

THE END.
After all, mimi ndio mmiliki mkubwa wa hii kampuni (majority shareholder), Yaani mimi as Director 70% na hao wanawake kila mmoja 10%.

Kila kitu ni mimi, mambo ya BRELA, TRA, Mtaji yaani kila kitu ni mimi hao niliwataja kwenye Memat sababu ya mambo ya kisheria.

ILA PIA USISAHAU.
Huyu wa kwanza huko alipo ana watoto wengine, itakuaje sasa. Hawawezi kuja kudai na wao haki kwakuwa mama yao ni shareholder?

NIKO DILEMA.

LA KWANZA.
1. Mwanamke wa kwanza ana watoto wengine kwa mwanaume mwengine, JE WAKISANUKA?
2. Kifupi nataka Kampuni yangu iendelee miaka na miaka, ila kwa HALI HII YA MAMA ZA WANANGU NINI NIFANYE ILI BAADAE KUSITOKEE NA MGOGORO NA WATOTO AMBAO SIJAZAA MIMI (WAMEZAA NA WANAUME WENGINE) WASIJUMUISHWE KWENYE MALI ZANGU KUPITIA SHARE ZA MAMA ZAO?

Nibadilishe MEMAT au nifanye nini cha kisheria KIWEZE KUNISAIDIA BAADAE na KISAIDIE WANANGU WA DAMU YANGU PIA???

LA PILI.
Hapo juu nimesema kuwa nataka mali zangu binafsi (ambazo kwa sasa ni kiwanja na gari tu) nikabidhi kampuni.
Ila pia hata mali za baade nikinunua nataka nikabidhi kampuni.

JE HII NI SAWA?
HAKUNA MADHARA YOYOTE NA NI YAPI?

Naomba kuwasilisha

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mshana Jr na wengine karibuni kwa USHAURI

#YNWA
#YANGA_BINGWA
1. Kuhusu urithi wa watoto
. wape elimu bora
. watafutie mali zao binafsi hasa ardhi
. Wafungulie account binafsi kwenye mifuko ya uwekezaji
. Andika wosia wa urithi wa kampuni by shares kwao..
Kuhusu wewe.. Sasa una nguvu za kupambana.. Lakini hazitakuwa za milele.. Kumbuka fainali uzeeni.. Utafika mahali utahitaji msaidizi na huyo si mtoto ndugu au mfanyakazi.. Bali mtu aitwaye mke.. Hivyo anza kuwaza kuhusu future yako
 
umuhimu wa ndoa nadhani umeuona
 
Ndoa ni mhimu sana hawa wazee wa kataa ndoa kuna majuto mbele
 
Hongera Sana , umejaribu kupangilia mambo vizuri Sana .

Ukishapata ufafanuzi mzuri wa kisheria unabidi kufikiria kuhama kutokaba being richest person to Wealthiest person .

Kwakuwa kwa nature ya Mali zako zipo zaidi katika possession and not ownership zinahitaji Control ya MTU ambaye yupo very committed.

Kama ukifariki n.k inaweza kuwa ngumu hao wake zako kutunza na kuendeleza hiyo kampuni ili watoto wakikuwa waje wawe benefited. Kama wahindi n.k
 
Back
Top Bottom