Imaginekama saizi nataman matikit na hela sina
furaha itoke wap
Money can buy everything thing even a pussieNataka tusaidiane kuitazama hii picha !!
Ebu wanaone wanaosema hii kauli walio hawana furahaView attachment 2853458
Kinacholeta furaha ni kutatuliwa matatizo yako na helaFuraha ni emotional na inatokea kulingana na mwili kureact na mazingira plus watu
Sasa ebu niambie unamaanisha ??
maana pesa inanunua misosi mizuri huwezi furahi ww
Pesa inaleta Bia tamu usifurahi hapo
Pesa itakupa mwanamke mzuri duniani usifurahi kweli
Besa inakuwezesha kutimiza ndoto zako usifurahi kweli
The only thing money can't buy is UHAI tu, the rest unanunua including furaha.
NB: usivalidate umasikini kwa kigezo cha furaha.
Kwani asiyekua na hela hafiwi mkuu? Kuna vitu haviepukiki uwe na hela au huna, lakini kufiwa na ndugu mkakosa hela ya kumtoa hospitali kisa bill kubwa maumivu yake hayaelezeki.Na unaweza kufiwa na ukawa na furaha kwakuwa unahela?
Hela inanunua upendo vizuri tuu ndio maana manara anakula madem wakali anavyotaka hata kama hawana true love lakini kawadinya style zote anazotaka hilo ndio la muhimu, achana na pesa mkuu.Money can't buy love but can give you happiness unaweza kwenda sehemu yoyote uka enjoy ila upendo wa dhati unaweza usipate hata ukiwa na ela ila furaha unapata muda wowote ukiwa na pesa
Money cannot buy everything but it can indeed buy happiness.kwaiyo hapo umekubali money can buy happiness
Sawa bhana ila mimi naona hapati upendo pale zaidi ya kupata furaha tu akifulia wanamkimbiaHela inanunua upendo vizuri tuu ndio maana manara anakula madem wakali anavyotaka hata kama hawana true love lakini kawadinya style zote anazotaka hilo ndio la muhimu, achana na pesa mkuu.
Sawa bhana ila mimi naona hapati upendo pale zaidi ya kupata furaha tu akifulia wanamkimbia
Akifulia maana yake hela haipo hapo lazima wakimbie, hapa tunazungumzia pesa mkuu. Achana na ukwasi ndugu yangu ndio maana wazee wanatunyanganya pisi zetu.Sawa bhana ila mimi naona hapati upendo pale zaidi ya kupata furaha tu akifulia wanamkimbia
Stop nothness
Kweli kaabisa yaanAkifulia maana yake hela haipo hapo lazima wakimbie, hapa tunazungumzia pesa mkuu. Achana na ukwasi ndugu yangu ndio maana wazee wanatunyanganya pisi zetu.