Wanaosema 'Money Can't Buy Happiness...'!

money can buy you anything make no mistake about that wanaosema haiwez ni lugha za kujifariji tu!!!
 
ukifikiri ndani ya kiboksi, lazima uje na conclusion kama hii. well jiulize hivi happiness suppose to be seen au perceived?? dont ever confuse happiness with laughter and smilles shauli yako utahonga hadi moyo. unapomuuzi mtu(kumkosesha furaha) inategemea yaweza kuwa makusudi au bahati mbaya. kama ni makusudi it means it was your mission wewe kumuudhi yeye so hapo hata ununue tanzanite it wont work out. on the other hand ukimuudhi kwa bahati mbaya inabidi yakubidi ujishushe uwe mpole kwanza na uvae viatu vyake ili ujue anajisikiaje coz ukikurupuka tu kununua zawadi the idea might change kwamba ulifanya kusudi so now u are to bribe her/him. kwa mtu niliyekamilika kiakili na kihisia ningependa kuona furaha yangu inarudishwa kutokana na yule mkosaji walau kuelewa kuwa ni kwa kiasi gani ameniumiza na kiasi gani ana uwezo wa kuexercise upendo wake kwangu ili anirudishie furaha yangu. unajua furaha na hasira ni kama seesaw furaha ikiongezeka hasira inapungua and the vice versa. so get your hands off your purse, its time to be a real man/woman.
 
Ni bora kulia ndani ya VOGUE kuliko ndan ya toyo au bajajiii....af wanaosema hvo aisee hawayajui madukaa ya kwenda kuspend hela na sehem nzur za kwenda kupunguza stress,..pesa ina nafas yake bwn,,..ndo mana everymorning watu mnaamka kuitafta ili mpunguze shda za kimaisha..aka muwe na furaha
hahaha, nimeipenda hiyo ya kulia kwenye VOGUE!
 
ukifikiri ndani ya kiboksi, lazima uje na conclusion kama hii. well jiulize hivi happiness suppose to be seen au perceived?? dont ever confuse happiness with laughter and smilles shauli yako utahonga hadi moyo. unapomuuzi mtu(kumkosesha furaha) inategemea yaweza kuwa makusudi au bahati mbaya. kama ni makusudi it means it was your mission wewe kumuudhi yeye so hapo hata ununue tanzanite it wont work out. on the other hand ukimuudhi kwa bahati mbaya inabidi yakubidi ujishushe uwe mpole kwanza na uvae viatu vyake ili ujue anajisikiaje coz ukikurupuka tu kununua zawadi the idea might change kwamba ulifanya kusudi so now u are to bribe her/him. kwa mtu niliyekamilika kiakili na kihisia ningependa kuona furaha yangu inarudishwa kutokana na yule mkosaji walau kuelewa kuwa ni kwa kiasi gani ameniumiza na kiasi gani ana uwezo wa kuexercise upendo wake kwangu ili anirudishie furaha yangu. unajua furaha na hasira ni kama seesaw furaha ikiongezeka hasira inapungua and the vice versa. so get your hands off your purse, its time to be a real man/woman.
well said chief!
 
Salaam wakuu,
Kuna huu msemo nimekua nausikia mara kwa mara watu wanasema eti ‘money can't buy happiness' ila kwangu mimi I beg to differ wakuu. Lets be realistic here, pesa ina play part kubwa sana katika kuleta furaha katika sehemu mbali mbali. Chukulia tu mfano wa familia inayoishi katika hali a chini sana ya ufukara ambapo mlo ni laka moja tu kwa siku halafu siku moja baba kazifuma akaja nyumbani na mchele, kuku na zaga nyingine kibao akamwambia mama watoto apike pilau la maana. Hebu pata picha furaha itakayokua nayo familia hiyo kwa siku hiyo. Hata kwenye mapenzi pesa ina play part kubwa katika kuleta furaha, mambo ya shopping out going na kila kitu ni pesa. Sometimes hata mpenzi akiwa amekukasirikia af ukaingia hata shop ukamsuprise na lingerie au unyunyu flani af ukaomba na msamaha mbona fasta tu wasamehewa? Ki ukweli mwambite a.k.a mbombenga ni chanzo kikubwa sana cha furaha katika maisha yetu haya though I agree to disagree na wengine ambao from their other perspectives wanaona kweli money cant buy happiness. So, what do you think mkuu?

Inategemea definition yako ya happiness na determinants of happiness!
 
daaah, comments zako zinanifurahisha sana

hahaha,ndo hvo mkuu,nakubali money aint everythm bt ina nafas yake jmn,u cn take care of urself,family,na kusaidia wahitaj,helpn othr pipo brings hapiness ujue,...u get th nice thngs in life,go to th nicest places nk. To me ts all about choices and uwe na kiasi pesa mbna itakufurahisha tu,# tuendelee kuzipata tu aisee
 
I really don't know why but mostly he who doesn't have something believes he will be well off when he gets something while practically the more u get something the more u want..another thing...it goes on an endless circle...over..
 
True true
 
Nataka tusaidiane kuitazama hii picha !!

Ebu wanaone wanaosema hii kauli walio hawana furaha
IMG_3308.jpg
 
Back
Top Bottom