much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,578
Na unaweza kufiwa na ukawa na furaha kwakuwa unahela?Mtu anaweza akawa anaumwa bado anafuraha[emoji23][emoji23][emoji23]
Na unaweza kufiwa na ukawa na furaha kwakuwa unahela?Mtu anaweza akawa anaumwa bado anafuraha[emoji23][emoji23][emoji23]
na hizo tikiti eka 200 dalali akatia mguu hapo ukaambulia 4m tu..yalaaah!dah tuache kijifariji ndugu zangu😂😂😂😂, uko na diva moja lainiiiii unamlainisha na nyimbo ya jay melody "sawa" kwenye system sound kali huku unapanga gia kwenye
LX 570,. huku umelima tikiti heka 200
Na unaweza kufiwa na ukawa na furaha kwakuwa unahela?
Pesa ni furaha na furaha ni pesa, in simplest form unaweza tumia neno pesaro kumaanisha further like
"mamayangu alivyoniona alikuwa na furaha"
Unaweza idea having
"Mama yangu alivyoniona alikuwa na pesa" mimi nitakuelewa
Kwasababu ana hela?
Yes, nipinge kama una hoja, in short way binadamu unahutaji kutafuta vitus viwili tu kuishi vizuri Maisha you'reha we yaan umezidisha[emoji23][emoji23]
Furaha inakuwa triggered na external things like money kwa asilimia kubwa....hakuna taking nitakupa ila mtu kama GSM Ana experience furaha muda mwingi compare tu ordinary guy wa hapa Gongo la mboto.To answer your question someone must be rich first..
Otherwise we will answer it out of imagination.
Or theoritically.
Furaha na huzuni ni feelings ambazo zinanaweza mpata tajiri au kapuku, inategemeana na hali ambayo mtu huyo atapitia.
Kwa kusema hivyo hata pesa(Money) zinaweza mfanya mtu kuwa na furaha kwa kipindi fulani ila si muda wote.
Mfano tajiri mwenye pesa nyingi.
Anaweza kuwa na furaha sababu pesa zinamuwezesha kusafiri popote atakapo, au kula chakula chochote atakacho lakini fedha hizohizo zimeshindwa kuzuia ndoa yake isivunjike.
Hii inamuhuzunisha sana tajiri huyu.
Kwa upande mwingine kuna maskini wanaishi kwa furaha( ila si muda wote).
Furaha ni kitu ambacho ni self generated it doesn't depend on external factors like wealth, it depend mostly on your expectations and your ability to copy with situation.
Furaha inakuwa triggered na external things like money kwa asilimia kubwa....hakuna taking nitakupa ila mtu kama GSM Ana experience furaha muda mwingi compare tu ordinary guy wa hapa Gongo la mboto.
To answer your question someone must be rich first..
Otherwise we will answer it out of imagination.
Or theoritically.
Furaha na huzuni ni feelings ambazo zinanaweza mpata tajiri au kapuku, inategemeana na hali ambayo mtu huyo atapitia.
Mfano tajiri mwenye pesa nyingi.
Anaweza kuwa na furaha sababu pesa zinamuwezesha kusafiri popote atakapo, au kula chakula chochote atakacho lakini fedha hizohizo zimeshindwa kuzuia ndoa yake isivunjike.
Hii inamuhuzunisha sana tajiri huyu.
Kwa upande mwingine kuna maskini wanaishi kwa furaha( ila si muda wote).
Furaha ni kitu ambacho ni self generated it doesn't depend on external factors like wealth, it depend mostly on your expectations and your ability to copy with situation.
😂😂 I like your brutality wayHuyo masikini anaeishi kwa furaha ana mtindio wa ubongo
Ukweli masking wengi ni tunavumilia tu stress all the kimsingi hatuna jinsi yes tunapata vi furaha vya muda mfupi mfupi kulingana na modes ila over all life ni unhappinesstofautisha anaeishi kwa furaha na anaeishi kwa kuvumilia
Ok nakuelewa,Furaha inakuwa triggered na external things like money kwa asilimia kubwa....hakuna taking nitakupa ila mtu kama GSM Ana experience furaha muda mwingi compare tu ordinary guy wa hapa Gongo la mboto.
Hapana kwasababu ya visit changamoto vingine tu vya kidunia amblyopia vinaweza twist mode ya mtu mfano ishu za mahusiano, afya, day mode nk hizi tunaita Uncertainty zipo out of control binadamu ila most of them tuna uwezo wa kupunguza makalu yake ukiwa na pesa, put in mind PESA ni medium of exchange means ukipatwa na Uncertainty unaweza tumia pesa ku-exchange na hip shida ukaimaliza au kuipunguza makaluOk nakuelewa,
Umesema GSM ana experience furaha muda mwingi.......?
Je huo muda mchache ambao GSM anakuwa hana furaha, sababu ni anakuwa hana pesa?
Thread 'Maisha yanazidi kuwa magumu, familia inanitegemea na sinachochote cha kuwapa. Kichwa kinawaka moto sijui la kufanya!' Maisha yanazidi kuwa magumu, familia inanitegemea na sinachochote cha kuwapa. Kichwa kinawaka moto sijui la kufanya!
Nimekuuliza ukifiwa na baba yako utakuwa na furaha kisa tu unapesa?we unazan wanaoliaga wote huwa wanalia uchungu wanawaza mtafutaji kafa tutaishije