Wanaosema Money Can't Buy Happiness.....!!!!


donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,632
Likes
5,671
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,632 5,671 280
Salaam wakuu,
Kuna huu msemo nimekua nausikia mara kwa mara watu wanasema eti ‘money can’t buy happiness’ ila kwangu mimi I beg to differ wakuu. Lets be realistic here, pesa ina play part kubwa sana katika kuleta furaha katika sehemu mbali mbali. Chukulia tu mfano wa familia inayoishi katika hali a chini sana ya ufukara ambapo mlo ni laka moja tu kwa siku halafu siku moja baba kazifuma akaja nyumbani na mchele, kuku na zaga nyingine kibao akamwambia mama watoto apike pilau la maana. Hebu pata picha furaha itakayokua nayo familia hiyo kwa siku hiyo. Hata kwenye mapenzi pesa ina play part kubwa katika kuleta furaha, mambo ya shopping out going na kila kitu ni pesa. Sometimes hata mpenzi akiwa amekukasirikia af ukaingia hata shop ukamsuprise na lingerie au unyunyu flani af ukaomba na msamaha mbona fasta tu wasamehewa? Ki ukweli mwambite a.k.a mbombenga ni chanzo kikubwa sana cha furaha katika maisha yetu haya though I agree to disagree na wengine ambao from their other perspectives wanaona kweli money cant buy happiness. So, what do you think mkuu?
 
B

Broken soul

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Messages
463
Likes
6
Points
0
B

Broken soul

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2013
463 6 0
I agree with you, money brings happiness

Kwa Wale ambao wamezaliwa na pesa na ambao hawakulack anything wkt wanakua lazma wabishe

Mi mtoto wa mlala hoi pesa ndo furaha yangu!
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,724
Likes
3,407
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,724 3,407 280
Mawazo kama haya unapata muda wa kufikiria na yenyewe kutamalaki katika vilindi vya ubongo wako kwa kuwa tu unaishi katika taifa fukara...
 
ms_shylo

ms_shylo

Member
Joined
May 25, 2013
Messages
62
Likes
0
Points
13
ms_shylo

ms_shylo

Member
Joined May 25, 2013
62 0 13
I think "money can't buy happiness" is a phrase used to make SOME people feel ok with their situations but the Truth is money can buy happiness but MAYBE cant buy TRUE love.
Dont come panicking on me though wale wenye hasira na maisha wa kuargue kama wanapigana..Take a chill pill before you respond to me.
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,632
Likes
5,671
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,632 5,671 280
I agree with you, money brings happiness

Kwa Wale ambao wamezaliwa na pesa na ambao hawakulack anything wkt wanakua lazma wabishe

Mi mtoto wa mlala hoi pesa ndo furaha yangu!
uko sawa kabisa mkuu!
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,632
Likes
5,671
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,632 5,671 280
I think "money can't buy happiness" is a phrase used to make SOME people feel ok with their situations but the Truth is money can buy happiness but MAYBE cant buy TRUE love.
Dont come panicking on me though wale wenye hasira na maisha wa kuargue kama wanapigana..Take a chill pill before you respond to me.
sure thing mkuu, anyone atakayekuvamia must be insane
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,632
Likes
5,671
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,632 5,671 280
Mawazo kama haya unapata muda wa kufikiria na yenyewe kutamalaki katika vilindi vya ubongo wako kwa kuwa tu unaishi katika taifa fukara...
kweli kaka lakini ujue hata kwa mataifa tajiri bado kuna watu wanapigika na kusaka doo, mfano mzuri Finland u cant imagine raia wanaokota makopo kama bongo kwenda kuuza for recycling!
 
kidole007

kidole007

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Messages
3,085
Likes
929
Points
280
kidole007

kidole007

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2012
3,085 929 280
money can buy happiness but cant and will never buy true happiness

true happiness is found within and not on material things

if yo happiness is bound to material things it obvious kama havipo u'll be just another sad person
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,632
Likes
5,671
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,632 5,671 280
money can buy happiness but cant and will never buy true happiness

true happiness is found within and not on material things

if yo happiness is bound to material things it obvious kama havipo u'll be just another sad person
u gotta point!
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,579
Likes
39,004
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,579 39,004 280
Pesa ni shetani. Shetani ni muongo. Atakudanganya na raha kidogo na furaha za kiongouongo na Mwisho wa yote unabaki na maumivu
 
Imany John

Imany John

Verified Member
Joined
Jul 30, 2011
Messages
2,857
Likes
354
Points
180
Age
38
Imany John

Imany John

Verified Member
Joined Jul 30, 2011
2,857 354 180
money can buy only temporary happiness,but permanent it can not.
 
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
5,888
Likes
485
Points
180
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
5,888 485 180
Ni bora kulia ndani ya VOGUE kuliko ndan ya toyo au bajajiii....af wanaosema hvo aisee hawayajui madukaa ya kwenda kuspend hela na sehem nzur za kwenda kupunguza stress,..pesa ina nafas yake bwn,,..ndo mana everymorning watu mnaamka kuitafta ili mpunguze shda za kimaisha..aka muwe na furaha
 
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
5,888
Likes
485
Points
180
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
5,888 485 180
HAPINESS IS A CHOICE...ndo mana kuna watu wanazo n thy r soo happy,wengne hawana n they r damn happy too,na wengne hawana n they r too sad nk...so zitafute km kawaida and keep choosing hapiness everyday of ur life,utaona raha ya kuwa na hela
 
nameless girl

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
3,964
Likes
686
Points
280
nameless girl

nameless girl

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
3,964 686 280
Money can NEVER buy furahaa... unaweza ukawa na pesa na usiwe na furaha hata siku moja. Pia unaweza ukawa ni fukara but very happy, pengine ni kuridhika na hali uliyonayo, who knows!!!
Binafsi pesa haiwez kuniletea furaha na kila kitu nikitakacho.
 
Valentina

Valentina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2013
Messages
20,735
Likes
16,493
Points
280
Valentina

Valentina

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2013
20,735 16,493 280
Pesa ina raha yake bwana...na ndio maana tunatia juhudi kuzitafuta ili furaha ya maisha ikae sawa!! Pesa ni jawabu la mambo yote
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,237
Likes
87
Points
135
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,237 87 135
Pesa ni shetani. Shetani ni muongo. Atakudanganya na raha kidogo na furaha za kiongouongo na Mwisho wa yote unabaki na maumivu
Siyo kweli kabisa kwamba pesa ni shetani, shetani ni yule anayeitumia hiyo pesa katika muelekeo wa kishetani.
 

Forum statistics

Threads 1,251,967
Members 481,948
Posts 29,791,728