Wanaosema 'Money Can't Buy Happiness...'!

Wanaosema 'Money Can't Buy Happiness...'!

IMG_3212.jpg

Nilivokua na hela nilikua na marafiki wengi tuna vibe kila weekend !! saizi n huzuni kwakweli[emoji23][emoji23]
 
Pesa hainunui furaha ila inatatua kero na changamoto nyingi za maisha kiasi kwamba inaleta amani na furaha ikiwepo.

Matajiri wengi wenye hela za mchongo na mikataba ndio hawanaga furaha.

Furaha ni emotional na inatokea kulingana na mwili kureact na mazingira plus watu

Sasa ebu niambie unamaanisha ??

maana pesa inanunua misosi mizuri huwezi furahi ww
Pesa inaleta Bia tamu usifurahi hapo
Pesa itakupa mwanamke mzuri duniani usifurahi kweli

Besa inakuwezesha kutimiza ndoto zako usifurahi kweli
 
Hio ni case nyingine. Ila furaha haiwezi letwa bila watu. Yani mfano wewe uwe tajiri halafu uwe huna mtu wa kushare nae story mbili tatu. Au ukaishi kwenye nchi ambayo hakuna mtu mwenye habari na mtu mwingine
Nakuelewa sana mkuu,hata hapa mjini nina kikundi fulani cha kijamii tuna watu ambao ni matajiri kila kitu wanacho lakini unaona kabisa huyu kafuata kampani ya watu,maana ni cha kusaidiana kwenye shida na raha ...... uko sahihi socialization ni nzuri,na kujumuika hukohuko kwa kujichanganya na watu wenye hela kunaweza kukuathiri saikologia kama popote unaenda bills,nauli wanalipa wenzio tu......
 
Back
Top Bottom