Wanaosema 'Money Can't Buy Happiness...'!

Wanaosema 'Money Can't Buy Happiness...'!

Pesa na furaha havihusiani ila ni rahisi kupatana. Umasikini na karaha vimeambatana.

Mwisho wa siku uhusiano mzuri na watu, hata kama ni wachache hio ndio furaha ya ukweli.

Especially circle yako iwe na watu wenye pesa basi furaha itakuwa mara dufu.

kwaiyo hapo umekubali money can buy happiness
 
Money inabuy happiness vizuri tu.

IMG_3301.jpg

yaan mfano nile ivi kweli nisifurahi
 
mkuu ukiwa na hela hao watu walokuzunguka watakua na furaha naww utakua na furaha !
ivi uwatatulie matatzo yao kwa pesa kwann msiwe na furaha
Yes ndo mana nikasemq pesa peke yake haiwezi kukupa furaha. Bali watu ndio furaha yenyewe.

Ukiwa na mahusiano mazuri na watu basi ni rahisi kupata furaha. Kuliko uwe na pesa halafu uwè ni wewe kama wewe yani kama maisha ya marekani vile yalivyo na upweke.
 
What if the circle of people around you are not helpful to you? Yaani unakuwa mtumwa kisa wao wanapesa?
Hio ni case nyingine. Ila furaha haiwezi letwa bila watu. Yani mfano wewe uwe tajiri halafu usiwe huna mtu wa kushare nae story mbili tatu. Au ukaishi kwenye nchi ambayo hakuna mtu mwenye habari na mtu mwingine
 
Yes ndo mana nikasemq pesa peke yake haiwezi kukupa furaha. Bali watu ndio furaha yenyewe.

Ukiwa na mahusiano mazuri na watu basi ni rahisi kupata furaha. Kuliko uwe na pesa halafu uwè ni wewe kama wewe yani kama maisha ya marekani vile yalivyo na upweke.

nakubali,,,, ndo nasema pesa inatengeneza hayo mahusiano mazuri!!

ukiwa huna hela hayo mahusiano mazuri unapataje kila mtu anakukwepa kama ukoma
 
Back
Top Bottom